HAJJ MANARA AHIMIZA WANANCHI WAVIMBE WASIOGOPE

HAJJ MANARA AHIMIZA WANANCHI WAVIMBE WASIOGOPE

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
The greatest master of ceremony wa kujitegemea aliyelipwa milion 15 kusheheresha shughuli kubwa kabisa iliyojaza uwanja pomoni yaani mwananchi day iliyojaza watu 60,000 bila mapengo kuonekana amewahimiza wana yanga kuvimba kuviiiimbaaa kwelikweli

Kuanzia week ijayo ataendelea pia kuwepo kwenye press conferences za yanga kama afisa uhusiano wa kujitegemea

VIMBEEENI WANANCHI VIIIIMBAAAAAAAAAAAA


viiiimbaaaa.JPG
 
Back
Top Bottom