nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Hivi huyu jamaa ana watoto kweli? atajisikiaje mtoto wake akikuta anaimba hayo matusi?ama kwa hakika haya maajabu naonaga kila ijumaa akipost mambo ya mtume mohamed nikawa namuonaga mtu wa maana kumbe popoma tu
mnashabikia nyimbo iliyojaa matusi tena basi bora ingekuwa hata matusi ya papuchi yeye ni makalio tu,vinyeesi vinyeesi hadi nyimbo lote linanuka choo
Halafu hii trend ya Diamond kuimba matusi ya kinyume na maumbile imeanza karibuni tu songs kama sita mbona zamani hakuwa hivi?/acheni kumuendekeza bana influence kwa watoto wanaomuona kama IDOL wao ni mbaya mno
anavaa hadi kikuku eti anasingizia wamarekani wanaotorokaga jela wanavaaga vikuku na nyie mnakaa mnashangilia kesho wewe Hajj manara yule Hassan mtoto wako akivaa kikuku usikasirike maana atakuwa atakuwa anamuiga huyo msafisha/msafishwa mtaro