Hajji Manara na Shaffi Dauda wana angenda moja

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Habari wana sports,

Kumekuwa na kelele nyingi sana kati ya hawa jamaa mwingine akitumia media na instagram kuisema vibaya SImba,Haji amekuwa akimtuhukmu Shaffi kama adui namba moja wa klabu ya Simba kupitia kurasa zake za social media pamoja na radio zingine kama EFM, mashabiki wa Simba wakitengeneza chuki kubwa kwa shabiki na wanachama mwenzao Shaffi.Dauda

Chanzo changu cha kuaminika toka kwa mmoja wa watu anaofanya nao kipindi cha sports extra,amenipenyezea kuwa ule ni mkakati wa kuifanya Simba izungumzwe sana na mashabiki waweze kwenda uwanjani kwa wingi kama kumkomesha Dauda,chanzo changu kiliendelea kunipa habari ya chini ya kapeti nakusema,kaka yule boss wangu(Shaffi) na Hajji ni marafiki wakubwa wanatengeneza malumbano kwa makusudi tu,pia Shaffi ni mwanachama mwenye kadi kabisa na siyo shabiki tu maana alishawahi kujaribu kugombea nafasi kadhaa Msimbazi.Wanawafanyia kiini macho tu mashabiki, maana yule Shaffi ni rafiki na mwenyekiti wa Simba Nkwabi na hata yeye hiyo strategy anaijua.

Anaendelea,huo ulikuwa mpango mkakati wa kufanya Simba iwe talk of the town na wamefanikiwa si unaona nyomi taifa? Siku ya mechi Shaffi alikuwa VIP na platinum ticket na niwale waliobebwa na shuttle toka pale Serena hotel,ingekuwa ni uhasama angeweza kupigwa kama wanajangwani walivyompa makonzi maana hawapendi ujinga, ila huyu boss wangu(Shaffi) kule msimbazi ni home.

Baada ya kufukunyua hadi kupata huu ukweli,Mikia kuanzia leo msituletee kelele za Shaffi humu maana anawapigia debe.

Safari njema AS Vita wakawajaze huko Drc,then mkajazwe Misri,then all ahaly waje wawajaaze taifa.

Mkifuzu kwenda Robo,nitaomba JF wanipumzishe siku 3 au week kabisa.
FB_IMG_1547506377810.jpg
 
Mkifuzu kwenda Robo,nitaomba JF wanipumzishe siku 3 au week kabisa.View attachment 994636
Hii habari wala sina utata nayo ina ukweli ndani yake, shaffih ukimchunguza vizuri ana ajenda yake ya siri, na shafffih sio mshabiki wa yanga,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda ni hakimu mzuri siku zote, tuupe muda nafasi tuone simba atafanya nini kwenye hii michuano.
 
Back
Top Bottom