Acha ushabiki Manara ana impact kubwa kwenye soka la nchi hi, tumedorora bila yeye.Manara anapambana sana aonekane bila yeye soka la bongo alinogi.pole sn kwake maana January tunaenda AFCON, yanga na simba zipo makundi huku ali kamwe uku ahmed ally weekend tunachek super ligi hakuna anaemmiss anatishia ataacha soka but nobody cares...kila kitu na wakati akubali matokeo
Impact gani kwa mfano? Sasa hivi yupo benchi je viwanja havijai? Mabanda umiza yanakosa watu? Timu hazifanyi vizuri kimataifa? Uliliona parade la Yanga?Leta data tumedorora wapiAcha ushabiki Manara ana impact kubwa kwenye soka la nchi hi, tumedorora bila yeye.
Impact gani wew? Akisusa Mo au GSM au Bakhresa tutasema kweli tutadorola,Acha ushabiki Manara ana impact kubwa kwenye soka la nchi hi, tumedorora bila yeye.
Kula chumaaa hiliiiManara anapambana sana aonekane bila yeye soka la bongo alinogi.pole sn kwake maana January tunaenda AFCON, yanga na simba zipo makundi huku ali kamwe uku ahmed ally weekend tunachek super ligi hakuna anaemmiss anatishia ataacha soka but nobody cares...kila kitu na wakati akubali matokeo
[emoji1787]Kumbe hii ndo Account yako humu JF
ππππJitahidini muwe mna plan B muda wote.Hii sasa ni kutokujiamini.Acha ushabiki Manara ana impact kubwa kwenye soka la nchi hi, tumedorora bila yeye.
Mmedorora na nani?Acha ushabiki Manara ana impact kubwa kwenye soka la nchi hi, tumedorora bila yeye.
Mmedororaje? Yaani yeye anacheza namba gani? Yeye ni kiongozi wa timu gani? Naona unajipa promo baada ya watu kukudharau ulipotishia kuacha masuala ya mpira.Acha ushabiki Manara ana impact kubwa kwenye soka la nchi hi, tumedorora bila yeye.
Huyo ni manara kaja kwa Gia nyingine ili ajipigie promo baada ile ya kutishia kustaafu kupuuziwa mbali na wakulungwa. Huna impact yoyote. Ungekuwa na impact hiyo usingekuwa unaachwa na wake zako.πππππππMmedorora na nani?
Inavunja moyo kupewa kifungo kirefu vileMpira wa bongo wa simba na yanga umekosa ushawishi wa maana tangu huyu jama apigwe marufuku, Tanzania tumeshindwa kupata mtu mbadala wa huyu jamaa ushabiki wa hoja haupo tena ni makelele tu, kubali au kataa manara ni zaidi ya shabiki hapa Tz jamaa anajua kupro mpira.........View attachment 2784352
Hana akili tofauti na ulivyo mpromoteMpira wa bongo wa simba na yanga umekosa ushawishi wa maana tangu huyu jama apigwe marufuku, Tanzania tumeshindwa kupata mtu mbadala wa huyu jamaa ushabiki wa hoja haupo tena ni makelele tu, kubali au kataa manara ni zaidi ya shabiki hapa Tz jamaa anajua kupro mpira.........View attachment 2784352