Hajui kuhesabu siku zake

MATESLAA

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,246
Reaction score
75
Mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu?
 
Zigo lako hilo, muhesabie hadi atapofika 45-50 yrs
 
Ndo maana mko wawili, sasa kwa vile haelewi libebeb hilo jukumu mpaka atakapoweza la sivyo jiandae kujaza dunia mpaka tufike bil 10 toka 7 tulitopo
 
Sijui kwa nini hii kitu kwao kuijua ni ngumu kweli. yaani mpaka mtu unaboreka kila siku unaimba wimbo ule ule yaani inaboa kweli mtu hajijui mwenyewe, mweeeeeeeee!
 
mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu

Chukua kazi ya kuhesabu hizo siku wewe, inaelekea utaweza kuifanya vizuri zaidi kazi hiyo kuliko yeye ili kuepuka hizo mimba za kila siku, vinginevyo just wrap it up!

 
Last edited by a moderator:
Chagueni family planing inayo mfaa. Sio kuhesabu siku au coitus interomptus sasa...
 
Umri na experience vinachangia. Unapofikuwa young and faithful you dont care the dates, infidelity ikianza unakuwa Prof wa hayo mambo au ukiolewa unaanza kuwa responsible na dates.
 
Kuhesabu siku ya nini mkuu?
Kuzaa kumewekwa na mungu ndio maana kupo,
Wacha atuletee wana, kina uncle tupo wa kuwalea.
 
hizo mimba za kila siku huwa anazaa ama ndo mnaenda kuflash?????????????????
 
Kuna baadhi ya wanawake huwa ni ngumu sana kuhesabu siku zao kutokana na kubadilika kwa kila mara kwa tarehe zao za kuingia mwezini.

Inawezekana mwanamke wako ana tatizo hilo na inafaa ukae nae chini kwa utulivu na mjue namna ya kufanya maana inaonekana hapo unachohofia ni mimba.
 
Wawapi huyo Mkuu! kama vipi vaa kinga!
 
sijui kwa nini hii kitu kwao kuijua ni ngumu kweli. yaani mpaka mtu unaboreka kila siku unaimba wimbo ule ule yaani inaboa kweli mtu hajijui mwenyewe, mweeeeeeeee!

Napata shida kuelewa mapenzi yako kwake.......................vipi upendo umetoweka au ni woga wa kummimbisha?
 
Tumia kinga ndugu yangu wakati mwingine hii kitu si ya kuamini sana hubadilika mwezi hadi mwezi, kwa hiyo usimlalamikie mwenzio. Mkae chini muongee njia gani mbadala mtumie, kwani hata ulivyoiandika hapa unalaumu kwa swala ambalo wakati mwingine liko nje ya uwezo wake. Ukimpenda utamjali, kumthamini na kumheshimu.!
 
mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu

mshatoa mimba ngapi?
 
Experience inamata sana kwenye ilo.alikuwa mtoto and very faithful so hakuwa na haja ya kuzijua coz hakuwa na hofu yoyote. Mpe muda ataelewa tu, kwa sasa beba wewe ilo jukumu coz u seem to be good in it, usimfanye ajione mjinga utamstress bure.
 
Kama yeye hawezi, msaidie wewe kujua hilo. Ndio sababu mko pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…