Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu
sijui kwa nini hii kitu kwao kuijua ni ngumu kweli. yaani mpaka mtu unaboreka kila siku unaimba wimbo ule ule yaani inaboa kweli mtu hajijui mwenyewe, mweeeeeeeee!
Muandikie kwenye karatasi alafu awe anakariri kila siku!!
mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu