mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,581
- 462
- Thread starter
- #21
Mama mkwe anasema anamfukuza maana hakutegemeaKama anakufaa kwa future komaa nae wazazi wataelewa somo baadae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama mkwe anasema anamfukuza maana hakutegemeaKama anakufaa kwa future komaa nae wazazi wataelewa somo baadae.
Huoni Mkuu, mpaka Sasa sm kanyangwanywa na ma sms kibao yaajabu ajabu tuliyokuwa tukiongea yule mama ndio anayo duh wejamaa bwana🤔Mi sijaona tatizo hapo...mama mkwe wako ndo kaexergereti
Kijana haujui kula na kipofu.
Ukiwa unafanya Mapenzi ya wizi wizi epuka matumizi ya SMS/TX
Mkuu bas TU ibabidi sms TUKijana haujui kula na kipofu.
Ukiwa unafanya Mapenzi ya wizi wizi epuka matumizi ya SMS/TXT
Una umri gan?
😭Wamama wa siku hizi buana
Haya kijana jiandae kuoa
Mkuu ni hatariNyie wote watoto. Kama mpaka mama zenu wanakagua simu zenu, basi bado mpo kwenye strict guidance.
Nimemshangaa huyo mama. Eti unafanyaje mapenzi na kaka yako? Ina maana ni ruksa akatombwe na watu baki siyo?
🤔Wewe bung'aa tu, unaingizwa mjini ili umuoe huyo binti. [emoji23]
Unamaanisha nn mkuuKhaaa mapenzi mazito ....huwa masikiniyanaziba hutasikia lolote kwa sasa
😀Kituo cha kwanza Yesu anahukumiwa afe....
Habari wakuu, ndugu zangu naombeni ushauri, mm Kuna familia tunaishinao kama ndugu ila kimsingi siyo ndugu zangu just kukutana katika jumuiya za kanisani kusali, na nimekuwa ni kiwatembelea kwao.
Katika familia hiyo kuna Binti wawili, tumekaa na hii familia kama miaka minne na nikiwa naogopa sana kuwaambia lolote hawa Binti, ila mm sikujua kama mmoja wao ananipenda, akawa ananiigizia vituko mbali mbali ila mm sijali kutokana na heshima nayo mpa kama dada ni Kawa naogopa.
Siku mmoja akaja kunitembelea niliko panga, mvua ikanyesha tukajikuta tunalala wote pamoja Huku mimi ni kiwa Sina wazo lolote, ila kumbe yeye anahisia, akawa ananisukuma Eti Niko na lala vibaya Huku mahasira kibao, mwishowe akaniambia baridi ni Kali ni mkumbatie kweli ikawa hivo, na Mimi binadamu ndugu zangu hisia zikanijia tukafanyana, duh apa Ndio tatizo lilianzia kuheshimiana kukaisha akawa anakuja tunafanya.
Tatizo Liko hapa, mama yake ameona sms zangu ktk simu ya mwanae akiniambia anahamu na mimi na mimi ni Kawa na mjibu njoo mke wangu na kusubili tufanye n.k.
Yule mama akaanza kumuwakia Binti kuwa anafanyaje mapenzi na kakaake, baadae yule Binti akaniambia duh, ukweli Sina amani naombeni ushauri ni fanyeje, ni Muache huyu mdada Ili ni kamuombe msamaha mama yake au ni tulie TU.
Nawasilisha
Hii comment ndio ilitakiwa iwe ya mwisho na uzi ufungwe na ifanyiwe lamination kabisa.Wewe bung'aa tu, unaingizwa mjini ili umuoe huyo binti. [emoji23]