Haka ka quine ka celebrity ka moyo wangu hapa JF kananiua kwa mawazo wakuu

hivi fidel yupo leo kweli....itifaki inavunjwa hapa
 
KUPENDA AVATAR😀😀!

Haya broda, nguvu zako!
 
...hapa kazi ipo...wewe waipenda AVATAR au Cheusi.......???
 
AVATAR imekutega duuuh Jirizishe mwenyewe kwa Picha

Lakini angaliaa ooooh.........
 
No niliyasikia hapa kuhusu huko nimebadiri mawazo yangu. Hivi kumbe sio picha ya cheusi duuuh!

aah mgeni karibu bwana sie tunakusubiria...sasa umeahirisha unakwenda wapi?.....hiyo picha ni ya cheusi kabisa namjua
 
aah mgeni karibu bwana sie tunakusubiria...sasa umeahirisha unakwenda wapi?.....hiyo picha ni ya cheusi kabisa namjua

Kama ndo yeye dhibitisha kwa kutoa nyingine inayoelekea kufanana na hiyo......
 
Naona Avatar imekuingiza mkenge, jimalize na picha tu kamanda!

 
hahaha Nyivonduma kumbe weye hiyo hapo ni ya kwako ???🙂
hahaa hizi avatar zina mambo shosti!niliiona picha ya hiyo avatar yako mtandaoni nikawakumbuka wanajf wanavyopagawa wkt hatuwezi kuweka picha zetu za ukweli!ngoja siku watuone tulivyo kama hawatakimbia!lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…