Nakimbizwa
Senior Member
- Jun 19, 2023
- 154
- 302
Masikini ndo wanaelewa.Ukiwa sio rijali huwezi kuelewa. Marijali wote wanaelewa ni nini hiki
Tatizo hunisalimiagi,ningekupa namba ya kamojaMuongo wewe
Huyo sio mwanafunziKuna kipindi watu kama nyie mlikuwa mnaitwa Maumba..., Huyu jamaa alikuwa hatari kwa dogodogo miaka ya 80...., angalia mkuu enzi hizi za digitally huchelewi kuanzishiwa kwamba umerubudi mtoto wa watu (hata huko Nje kuna Me Too Projects)
Unless na wewe bado Mwanafunzi.....