Jamani wana jf naomba kuuliza,kuna diploma ya ualimu inatolewa pale TEKU mbeya ,yaani mtu ukiwa na certificate tu ya ualimu wa daraja la IIIA unapokelewa kuanza diploma bila hata kuwa na cheti cha kidato cha sita.Halafu nasikia nchi nzima wanatoa teku tu,naomba wenye uzoefu,tcu,necta waje watupe maelekezo ya kina kwa sababu yanayozungumzwa huku ni mengi kuhusu hiyo cheap diploma,ili watoto wetu tuwaepushe na mitihani ya kidato cha 6,wapite njia ya mkato kwa wanaopitia kwenye ualimu
majanga hayoooo kwanza jamaa hawana usajili wamekurupuka