Haka kadiploma ka ukweli jamani

Haka kadiploma ka ukweli jamani

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,171
Jamani wana jf naomba kuuliza,kuna diploma ya ualimu inatolewa pale TEKU mbeya ,yaani mtu ukiwa na certificate tu ya ualimu wa daraja la IIIA unapokelewa kuanza diploma bila hata kuwa na cheti cha kidato cha sita.Halafu nasikia nchi nzima wanatoa teku tu,naomba wenye uzoefu,tcu,necta waje watupe maelekezo ya kina kwa sababu yanayozungumzwa huku ni mengi kuhusu hiyo cheap diploma,ili watoto wetu tuwaepushe na mitihani ya kidato cha 6,wapite njia ya mkato kwa wanaopitia kwenye ualimu
 
zipo nying tu siku hizi udom wanatoa ,eckernforde tanga pia,mount meru university pia ni nzuri tu kupita wapeleke wanao
 
Jamani wana jf naomba kuuliza,kuna diploma ya ualimu inatolewa pale TEKU mbeya ,yaani mtu ukiwa na certificate tu ya ualimu wa daraja la IIIA unapokelewa kuanza diploma bila hata kuwa na cheti cha kidato cha sita.Halafu nasikia nchi nzima wanatoa teku tu,naomba wenye uzoefu,tcu,necta waje watupe maelekezo ya kina kwa sababu yanayozungumzwa huku ni mengi kuhusu hiyo cheap diploma,ili watoto wetu tuwaepushe na mitihani ya kidato cha 6,wapite njia ya mkato kwa wanaopitia kwenye ualimu

ni kweli wanatoa lakini changamoto yake ni kubwa maan ili upate sifa za kujiunga chuo kikuu lazima uwe na gpa ya 4.0 na pia unakuwa una soma diploma in primary education.
 
majanga hayoooo kwanza jamaa hawana usajili wamekurupuka
 
Hiyo diploma ilikuwapo toka zaman inaitwa diploma in primary education kama alivyoeleza mdau hapo juu na nitofauti na inayotolewa udom kwan udom wadahiliwa watafundishwa taaluma ya a-level kwa mwaka halafu wataendelea na diploma.over
 
hawa teku kozi zao za education non-degree zlizo chini ya kurugenz ya elimu endelevu (doce) hazina baraka ya wizara,necta wala nacte karagabahooooo labda ukitaka kuwa mwalimu wa twisheni sawa
 
Kwakweli sisi wabongo bado tuna mawazo mgando sana ndo maana hatuendelei.Unashangaa nini mtu kusoma diploma ikiwa tayari ana certificate? na baadaye kuitumia hiyo diplm kuomba undergraduate?hii kwa ualimu ilikua shida kwa sababu ya wingi wa applicants.Tazama kozi kama accounting,Agriculture,vertenary,nursing,CA,IT,Engineering,Hizi zote mtu unaweza kuanzia na certificate ukapanda.Kwetu fom6 ni njia ya direct to university lakin sio ajabu mtu usipokua f6 kusoma diploma. Nilishamaliza university baada ya f6 lakini nilikutana na watu we ye diploma walinipa challenges mno kuona wako bright kuliko f6 leavers.
 
Back
Top Bottom