Haka kamchezo ka leo kamenichekesha sana!

Huyu anafikiria maaskofu wa TEC ni sawa na wale mashehe wa BAKWATA wanaotoana ngeu wakigombea vijinyama toka Makkah
Your browser is not able to display this video.
 
Na leo wamekuja na cinema ya Selemani Mwalimu na Yanga
 
Skeleton dog ama chikeletoni?
 
mganga bana dah?

umepigwa bumbuwazi au changa la macho? Ulijua kila mtu kaconsentrate na uchawi na ramli zako tu, right ?
Hahahahaaa!
Naona karumanzira kakomaa na matunguri Huku akiyatingisha manyanga kwa nguvu lakini wapiiii, hirizi halipumui tena. Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, si wa level wa kushughulikiwa na vigagula njaa kama hivi vinavyotegemea tOne tOne.

Wakati mwingine ni busara kuacha jambo lipitw tuu, huu uchawi wa kujifanya unajua Kila kitu ni WA kishamba sana.
 
Hayo ni mawazo yako ukizingatia hujawahi kumiliki akili, we nyumbu zero brain tunakujua.
Hahahahaaa.
Kazi yake kuu ni kukariri na kuja na maono yake ya kichawi anayotamani yatokee. Bahati mbaya kwake, Mungu mkuu yupo na anamuangusha kwenye Kila takwa lake..........rejeeni mamia ya nyuzi anazozusha kichawichawi humu kuhusu Samia tangu kabla hajachukua fomu, kipindi Cha kina polepole, tesha mpaka Sasa mtaona ni kwa namna gani ni mchawi wa aliyefeli.
 
Kitima gani? Kwani Kitima ndio TEC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…