Sijasahau ila unajua kila mtu na uwezo wake, wengine wa nanunua vitasa vya elfu sita wengine vya laki na nusu, kwahyo apige hesabu kwa level yakeUmesahau lkumtajia bei ya kila kitu... nadhani umehofia kumkatisha tamaa... maana unaweza kuta labda alikuwa ma 1M akadhani itamtoa
Hapo sawa....Sijasahau ila unajua kila mtu na uwezo wake, wengine wa nanunua vitasa vya elfu sita wengine vya laki na nusu, kwahyo apige hesabu kwa level yake
Chumba ni kipi na sebule ni ipi hapo? Maanake naona dirisha moja mbele,moja nyuma na kadirisha kamoja kadogo pembeni. Hako kadirisha kadogo ndio ka chumbani?Hapo ni chumba na sebule, max ni tofali 1000 kuanzia msingi hadi juu, bati sita kila upande jumla 12, milango miwili, madirisha mawili, mbao 4×2 sita na 2×2 nane, mchanga Lori na kokoto nusu lori, cement mifuko 20, vitasa viwili, komeo mbili za ndani, misumari ya bati kilo2 na ya 4" kilo2, bawaba za milango 6, mafuta gharama yà kila kimoja hapo jumlisha usisahau hela ya fundi sijui vinasimamia ngapi vitu hivyo
Itakuwa chumba na choo cha ndaniChumba ni kipi na sebule ni ipi hapo? Maanake naona dirisha moja mbele,moja nyuma na kadirisha kamoja kadogo pembeni. Hako kadirisha kadogo ndio ka chumbani?
Hiyo bei inafika kabisa fuarilia vizuri ujenzi utajua tuDuh, hayo matereal yanatokea Comoro ama?
Sawa kabisaSijasahau ila unajua kila mtu na uwezo wake, wengine wa nanunua vitasa vya elfu sita wengine vya laki na nusu, kwahyo apige hesabu kwa level yake
acha uvivuNaomba mchanganuo mkuu
Hapo ni Mbutu jirani kabisa na kwa kamanda Yerico Nyerere,hapo I.ekwenda 2.5millionSamahani wakuu, kwa wale wenye uzoefu na mambo ya ujenzi, je? Haka kamjengo kanaweza kugharimu sh. Ngapi hadi kanaisha?
View attachment 872767View attachment 872768
Hakuna asiyependa kuonekana ametumia gharama kubwa.Yupo sahihi sana. Nimejenga kubwa ya hapo kwa 1.5m ila kuezeka nikapiga "slope" kama wengi wanavyoita ya mita 3x9. Makadirio mengi ya watu hapa ni nadharia tuu. Kwenye ujenzi unaweza tishwa hadi ukaogopa kuanza. Unamuuliza mtu nyumba yako hii umejenga kwa sh ngapi anakwambia million 150 kumbe hata 30m haifiki.