Haka kanyimbo si kakusikiliza ukiwa umepitia break up. Wimbo mtamu huu nyie kha

Haka kanyimbo si kakusikiliza ukiwa umepitia break up. Wimbo mtamu huu nyie kha

okay nipe means wewe itakayokuridhisha, am waiting
Poa njoo pm nikwambie kitu halaf ubadilishe jina uache kujiita majina ya kike! Sio issue wala nn..kama ni likes au umaarufu hazitokupa hela kaka. Tumeelewana bro?
 
Ah kumbe wivu wako ni kwakua umeona napata likes😂😂😂😂😂😂
Si ndio maana mnajiita majina ya kike na kujifanya wanawake ili mpate attention zetu,acha hizo bro!! Halafu hebu Fanya kaz..
 
usipanick nenda taratibu ndugu yangu. Mi sikujua kinachikusumbua ni wivu. So unawish ungezaliwa wa kike kama sie ili upate likes 😂 😂 😂 😂
Utoto bado unakusumbua we kijana! Halafu hebu kwaheri kwanza
 
sio kweli, new gal ni mwanamke tena madam hero, super woman kabisaaa
Mhhh ndo alivowaingiza chaka na comments zake kule kwamba alivoliwa kimasihara na nyie mkaamin wakat uandish wa dume kabisa!
 
Halafu miandiko sio inshu..maana ule ni ufundi wa fasihi, ndio maana warumi ana mwandiko wa kike ila ni mwanaume (according to yeye)
 
Ukiwa na safari za kibaha kwa matiasi naimbie nikupe namba zake utampata, maana ndio amejiajili uko na anakaa uko, ni mdada kigori kabisa
 
mkuu fikra zako sio sahihi..niamini mm, new gal ni malkia wa nguvu...
Mazee msidanganyike na comments zake za kuliwa tunda kimasihara..huyu ni dume mkuu,trust me!! Msije Tuma nauli zenu tu mtakuja kulia hapa
 
Ukiwa na safari za kibaha kwa matiasi naimbie nikupe namba zake utampata, maana ndio amejiajili uko na anakaa uko, ni mdada kigori kabisa
Mbona me kaniambia anakaa mbez beach? Nge nge nge!!!(bell ring) kengele ya hatar ishalia hapa atakuja kulizwa mtu nauli humu hayen jaman
 
kwani kila mtu lazima aambiwe ukweli, inawezekana alikuambia ivyo ili umpotezee kwa kuwa hauna imani nae, si unajua style za wanawake uwa hawapendi bugudha kama hajamuelewa mtu
Thank you
 
kwani kila mtu lazima aambiwe ukweli, inawezekana alikuambia ivyo ili umpotezee kwa kuwa hauna imani nae, si unajua style za wanawake uwa hawapendi bugudha kama hajamuelewa mtu
muongo huyo sijawah ongea nae nnapoishi
 
Back
Top Bottom