Haka katabia ka kubeba mabegi kwenda kupiga picha vepe!!!

Haka katabia ka kubeba mabegi kwenda kupiga picha vepe!!!

Rajab_B3

Member
Joined
May 11, 2017
Posts
59
Reaction score
24
20246062_532279847103513_2564944453626065704_n.jpg

kuna katabia kamezuka, vijana unawaona wamebeba mibegi, TV, stuli wanaelekea sehem tofaut tofaut kama katikati ya barabara, aidha msituni wao wanaita Location kupiga picha, Je nako nikukosa kazi au ndi kwenda na wakati.
 
Wewe inaonekana unavuta kwenda shule,
Ukija kupata matokeo hovyo unakuja lalamika hapa tukuchagulie course ya kusoma.
Pumbavu
 
Ungetuwekea na kapicha mkuu tuwaone hao vijana si unajua sie wengine wahenga story bila picha hatuelewi
 
Back
Top Bottom