Haka katabia ka kubeba mabegi kwenda kupiga picha vepe!!!

Haka katabia ka kubeba mabegi kwenda kupiga picha vepe!!!

naona mnataka kuharibu kazi za watu hahahahahah kuna watu wanaishi kwa hii kazi
 
Kazi za watu. Zinawaingizia kipato.
Usidharau cha mwenzio

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
kuna katabia kamezuka, vijana unawaona wamebeba mibegi, TV, stuli wanaelekea sehem tofaut tofaut kama katikati ya barabara, aidha msituni wao wanaita Location kupiga picha, Je nako nikukosa kazi au ndi kwenda na wakati.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hvi vitu vpo??watu na maendeleo tetetetet
 
Back
Top Bottom