Haka katoto ka Elon Musk X Æ A-Xii kanacheza Whitehouse kama kwao tuu yani

Picha huwa zina maana kubwa katika ulimwengu wa siri ambao wengi hatuujui,huenda baadae kakawa karais kaUSA


Hapo Uhuru kenyatta akiwa dogo yupo ikulu kando na mdingi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…