K KIJANI Senior Member Joined Dec 13, 2010 Posts 138 Reaction score 26 Apr 11, 2012 #1 Habari wana jukwaa la Doctor, naombeni mnijuze mlio na ufahamu zaidi juu ya ugonjwa wa mkanda wa jeshi, dalili zake ni zipi, unsababishwa na nini na dawa yake ni nini?
Habari wana jukwaa la Doctor, naombeni mnijuze mlio na ufahamu zaidi juu ya ugonjwa wa mkanda wa jeshi, dalili zake ni zipi, unsababishwa na nini na dawa yake ni nini?