Haka Kaugonjwa

Haka Kaugonjwa

KIJANI

Senior Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
138
Reaction score
26
Habari wana jukwaa la Doctor, naombeni mnijuze mlio na ufahamu zaidi juu ya ugonjwa wa mkanda wa jeshi, dalili zake ni zipi, unsababishwa na nini na dawa yake ni nini?
 
Back
Top Bottom