Hakainde Hichilema kama hatakengeuka na kubadilika atakuwa Rais bora wa karne

Sijwahi kuona kiongozi aliyeanza vizuri kama yeye.

Ana muda wa mwaka mmoja sasa anatiki boxes zote za jinsi uongozi bora unavyopaswa kuwa DUNIANI, sio Africa tu na anaonekana kuwa bora kila siku.

Uko sahihi pia ni vyema tuendelee kumpa muda mpaka atakapoondoka kwenye hicho kiti.
Ngoja tumpe muda.
 
Nawaonea wivu wa zambia. Wamepata kiongozi wa kujivunia.
Kama sisi hapo miaka michache iliyopita kabla mambo hayajakwenda mrama.
 
Kama hatalevywa na madaraka akakengeuka na kubadilika kuelekea upande hasi basi atakuwa Rais bora wa karne ya 21.
Hakainde Hichilema(HH)View attachment 2328684
HUYU JAMAA NI MTU WA MITANDAO SANA HANA TOFAUTI NA DONALD TRUMP MARAIS WA TWITTER.

# Aache kupiga makelele mitandaoni afanye kazi wazambia hawajamuajiri ili aje apige makelele Twitter afanye kazi na sio kuwa mwana twitter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…