Hakainde Hichilema kama hatakengeuka na kubadilika atakuwa Rais bora wa karne

Hakainde Hichilema kama hatakengeuka na kubadilika atakuwa Rais bora wa karne

Kiongozi aliye chaguliwa na watu huwa na wajibu wa kuwatumikia watu na serikali yake huwajibika kwa watu.

Kiongozi aliye chaguliwa na kikundi Cha watu kwa maslahi ya kikundi hicho huwajibika kwa kikundi hicho na serikali yake huwajibika kwa kikundi hicho.
 
Hakuna kiongozi wa sasa anayaweza kuyasema haya hapa tz hata kwa kudanganya tu .

Wanapenda sana kutukuzwa kama miungu watu, wanataka wawaoneshe kua wapo juu zaidi yao wale amabo wanajua fika wako chini yao.
Eti "pandeni juu ya magari waonesheni kua watu ni wengi"
 
Hali Africa ni mbaya sana mpaka Raisi akikataa kununua V8 wananchi wanamshangilia, kumshukuru, na kumwona kama mkombozi wao, Mungu atusaidie waafrica tupate akili maana tumeonewa na kuibiwa sana kutokana na ujinga wetu
 
Nakuunga mkono
Kiongozi aliye chaguliwa na watu huwa na wajibu wa kuwatumikia watu na serikali yake huwajibika kwa watu.

Kiongozi aliye chaguliwa na kikundi Cha watu kwa maslahi ya kikundi hicho huwajibika kwa kikundi hicho na serikali yake huwajibika kwa kikundi hicho.
 
Inasikitisha sana, tuko gizani
Hali Africa ni mbaya sana mpaka Raisi akikataa kununua V8 wananchi wanamshangilia, kumshukuru, na kumwona kama mkombozi wao, Mungu atusaidie waafrica tupate akili maana tumeonewa na kuibiwa sana kutokana na ujinga wetu
 
Duu ni kama kuna kiongozi anamchamba,hasa yule pale,paleee paleee!!
 
Huku sasa Kila mwaka wanaagiza mapya, utadhani yanaisha kama kandambili za machinga

Tena wanaagiza kwa kodi na Tozo uchwara za kina mwigulu chemba.

Mwanachi wa hali ya chini kabisa akiuza mbaazi zake kindoo kimoja alizozipata kwa msimu mzima wa mavuno kutokana na pembejeo kuwa juu, akitaka kumtumia Mama yake 10,000/- bado itakatwa kodi na tozo juu.

Shame on them.

Mwigulu hatoshi,
Mwigulu Out.
 
Yule alikuwa kelele nyingi, majidai na kufoka foka tu, ila kwa ground mambo yalikuwa tofauti.
In his dark side alikuwa mbaya kuliko, mpaka kufikia hatua watu wa kawaida kabisa kujua upande wake wa giza unavyofanya kazi.
 
Tena wanaagiza kwa kodi na Tozo uchwara za kina mwigulu chemba.

Mwanachi wa hali ya chini kabisa akiuza mbaazi zake kindoo kimoja alizozipata kwa msimu mzima wa mavuno kutokana na pembejeo kuwa juu, akitaka kumtumia Mama yake 10,000/- bado itakatwa kodi na tozo juu.

Shame on them.

Mwigulu hatoshi,
Mwigulu Out.
Utashangaa mtu kama Mwigulu anaonekana kakulia kwenye ufukara wa hali ya juu sana lakini sasa ndio yuko busy kuumiza maskini wenzake badala ya kuwatafutia unafuu, kila siku anakuja na mitozo mipya na midharau yake ya kishamba eti hamieni Burundi, ndio maana Phd lake fake na yeye mwenyewe fake tuu
 
Africa tunapenda maneno maneno ya faraja na kiki zisizonamaana, hapo anachesa na tune za wananchi tu.

Mwambie aende kule Lumwana akavunje ile mikataba na Barrick kule.
Mwambie aende kule Copper belt akareview ile mikataba ya uchimbaji madini toka 50's huko inayowanyonya Wazambia.

Ila Zambia ijitegemee inapaswa kuwa na usimamizi mzuri wa resources zake kule Copper belt, hizi nyingine ni mbwembwe.
 
Back
Top Bottom