Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Hakuna kiongozi wa sasa anayaweza kuyasema haya hapa tz hata kwa kudanganya tu .
Huku sasa Kila mwaka wanaagiza mapya, utadhani yanaisha kama kandambili za machingaNilipenda ile aliyosema Serikali haitogharamia V8’s za viongozi wa Serikali, Serikali ikijikuna sana itanunua Vanguard, ukitaka V8 nunua kwa pesa yako.
In short, President HH ni msabatoWasabato wa Zambia nawakubali sana johnthebaptist
Na sisi tumpe msabato urais hapa bongo. Chenge atatufaa sana au unasemaje?In short, President HH ni msabato
Kiongozi aliye chaguliwa na watu huwa na wajibu wa kuwatumikia watu na serikali yake huwajibika kwa watu.
Kiongozi aliye chaguliwa na kikundi Cha watu kwa maslahi ya kikundi hicho huwajibika kwa kikundi hicho na serikali yake huwajibika kwa kikundi hicho.
Hali Africa ni mbaya sana mpaka Raisi akikataa kununua V8 wananchi wanamshangilia, kumshukuru, na kumwona kama mkombozi wao, Mungu atusaidie waafrica tupate akili maana tumeonewa na kuibiwa sana kutokana na ujinga wetu
Huku sasa Kila mwaka wanaagiza mapya, utadhani yanaisha kama kandambili za machinga
In his dark side alikuwa mbaya kuliko, mpaka kufikia hatua watu wa kawaida kabisa kujua upande wake wa giza unavyofanya kazi.Yule alikuwa kelele nyingi, majidai na kufoka foka tu, ila kwa ground mambo yalikuwa tofauti.
Wa wapi mkuu?In short, President HH ni msabato
Utashangaa mtu kama Mwigulu anaonekana kakulia kwenye ufukara wa hali ya juu sana lakini sasa ndio yuko busy kuumiza maskini wenzake badala ya kuwatafutia unafuu, kila siku anakuja na mitozo mipya na midharau yake ya kishamba eti hamieni Burundi, ndio maana Phd lake fake na yeye mwenyewe fake tuuTena wanaagiza kwa kodi na Tozo uchwara za kina mwigulu chemba.
Mwanachi wa hali ya chini kabisa akiuza mbaazi zake kindoo kimoja alizozipata kwa msimu mzima wa mavuno kutokana na pembejeo kuwa juu, akitaka kumtumia Mama yake 10,000/- bado itakatwa kodi na tozo juu.
Shame on them.
Mwigulu hatoshi,
Mwigulu Out.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huku sasa Kila mwaka wanaagiza mapya, utadhani yanaisha kama kandambili za machinga
Ffuucckk ooff..Jambazi lile ndilo la kujivunia?
Madhani utakuwa huna hoja mpaka kufukia hapo.Ffuucckk ooff..