Hakainde Hichilema!

Hakainde Hichilema!

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303

This is the kind of the leader I admire! The one who needs people's views towards development and not based on people's statuses(level of education, family status, personalities etc) .
What matters is people perception, plans, strategies and techniques on how to make changes!

Na sisi je, lini mawazo yetu yatapokelewa moja kwa moja na Rais? Hasa kuhusu kuachana na tozo na kutafuta namna nyingine ya kukusanya mapato?!

Kumbuka: Kodi na tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hicho hicho, NI UONEVU!
 
This is the kind of the leader i admire! The one who needs people's views towards development and not based on people's statuses. (Level of education, family status, personalities etc) .
What matters is people perception, plans, strategies and techniques on how to make changes!

Na sisi je, lini mawazo yetu yatapokelewa moja kwa moja na rais? Hasa kuhusu kuachana na tozo na kutafuta namna nyingine ya kukusanya mapato!

Kumbuka: kodi na tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hicho hicho, NI UONEVU!
Laana ya JPM Haitawaacha salama watanzania hasa lile genge Hatari.
 
Sisi Watanzania baana Sasa ivi tumekuwa machawa wa Hakainde Hechilema. Tunaacha kuona mazuri ya Viongozi wetu ya usambazaji wa huduma vijijini, maji, vituo vya afya, umeme, elimu bila ada, ruzuku ya mbolea. Tunamsifia HH Kwa maneno Yale ya twitaa
 
This is the kind of the leader i admire! The one who needs people's views towards development and not based on people's statuses. (Level of education, family status, personalities etc) .
What matters is people perception, plans, strategies and techniques on how to make changes!

Na sisi je, lini mawazo yetu yatapokelewa moja kwa moja na rais? Hasa kuhusu kuachana na tozo na kutafuta namna nyingine ya kukusanya mapato!

Kumbuka: kodi na tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hicho hicho, NI UONEVU!

Watu maskini mnaoamini mwanasiasa atawaletea maendeleo ndio mnawapaparikia hao wajamaa uchwara.
 
This is the kind of the leader i admire! The one who needs people's views towards development and not based on people's statuses. (Level of education, family status, personalities etc) .
What matters is people perception, plans, strategies and techniques on how to make changes!

Na sisi je, lini mawazo yetu yatapokelewa moja kwa moja na rais? Hasa kuhusu kuachana na tozo na kutafuta namna nyingine ya kukusanya mapato!

Kumbuka: kodi na tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hicho hicho, NI UONEVU!

Kwa kusema ukweli HH ni Rais Bora wa Afrika kwa mujibu wa maandishi yake Twitter. Kwa vile kusema siyo kutenda basi tumsubiri kumpima baada ya miaka 4 ili tuone kama kweli maneno yake matamu yana matokeo matamu kwenye uchumi. Numbers don't lie
 
Sisi Watanzania baana Sasa ivi tumekuwa machawa wa Hakainde Hechilema. Tunaacha kuona mazuri ya Viongozi wetu ya usambazaji wa huduma vijijini, maji, vituo vya afya, umeme, elimu bila ada, ruzuku ya mbolea. Tunamsifia HH Kwa maneno Yale ya twitaa
Nyie kijijini kwenu kuna maji na umeme wa gharama nafuu?
Sie huku kwetu kila wakati wanakuja tu kufungua mradi na kuweka mawe ya msingi.
Kwenye elimu wanafunzi wanabanana darasa moja, wanachofanya ni kugawa madarasa, shule moja inakuwa A na nyingine B, inapewa usajili inaonekana idadi ya shule zimeongezeka na kumbe majengo ni yaleyale!

NB: Tozo na kodi zaidi ya mara moja kwa kipato hicho hicho, ni uonevu!
 
Sisi Watanzania baana Sasa ivi tumekuwa machawa wa Hakainde Hechilema. Tunaacha kuona mazuri ya Viongozi wetu ya usambazaji wa huduma vijijini, maji, vituo vya afya, umeme, elimu bila ada, ruzuku ya mbolea. Tunamsifia HH Kwa maneno Yale ya twitaa
Hayo uliyoyasema ya umeme vijijini,maji,umeme,vituo vya afya na elimu wazambia walishaviboresha kuliko kwetu miaka 25 iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My friend the problem we are facing now is that the leaders belong to a rich class, the tactic they have adopted is fear of the rich themselves, the best way to impress these rich fela of theirs is cropping with joint tabs of general public inclusive.

Help the rich profitably, tax ghraphing with skewness has now shifted to the majority poor in the cloudy of basketilization of agenda.

Moving forward requires long-term approach in thinking but dancing in circular without achieving goals is deployment of tactics every now and then.

Prof. Asad should come out clearly also with this regime so is Zitto.
 
Sisi Watanzania baana Sasa ivi tumekuwa machawa wa Hakainde Hechilema. Tunaacha kuona mazuri ya Viongozi wetu ya usambazaji wa huduma vijijini, maji, vituo vya afya, umeme, elimu bila ada, ruzuku ya mbolea. Tunamsifia HH Kwa maneno Yale ya twitaa

Njoo Goba ambapo ni Center yaani down town, maji ni hadithi, Watu wanatumia na kunywa maji ya magadi afu unasema huduma zimefika huko vijijini, acha uzwazwa wewe
 
Sisi Watanzania baana Sasa ivi tumekuwa machawa wa Hakainde Hechilema. Tunaacha kuona mazuri ya Viongozi wetu ya usambazaji wa huduma vijijini, maji, vituo vya afya, umeme, elimu bila ada, ruzuku ya mbolea. Tunamsifia HH Kwa maneno Yale ya twitaa
Mkuu unaishi OHIO nini?
 
This is the kind of the leader i admire! The one who needs people's views towards development and not based on people's statuses. (Level of education, family status, personalities etc) .
What matters is people perception, plans, strategies and techniques on how to make changes!

Na sisi je, lini mawazo yetu yatapokelewa moja kwa moja na rais? Hasa kuhusu kuachana na tozo na kutafuta namna nyingine ya kukusanya mapato!

Kumbuka: kodi na tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hicho hicho, NI UONEVU!
Kumbuka: kodi na tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hicho hicho, NI UONEVU!

Triple taxation
 
Tatizo lenu nyinyi watz hata mfanyiwe Nini hamshukuru, mmepandishwa madaraja ya kiutumishi, mmeondolewa maisha ya hofu na mashaka, serikali imetoa ajira kwa vijana wetu, yote hayo yule mwenye roho mbaya hakuyafanya,

Sasa nyinyi dawa yenu mburuzwe haswaa, na mkamuliwe hashwa Hadi maji muite mma,
 
Tatizo lenu nyinyi watz hata mfanyiwe Nini hamshukuru,

Sasa nyinyi dawa yenu mburuzwe haswaa, na mkamuliwe hashwa Hadi maji muite mma
Kumbe unajua wazi kwamba kwa sasa kuna watanzania wanaokamuliwa na wasio watanzania ambao wananyonya tu kwa mirija?

Ndio maana sisi watanzania tunalalamikia huko kukamuliwa kwasababu hatuna nchi nyingine ya kwenda! Na hakuna njia nyingine ya kutoa maumivu ya huko kukamuliwa zaidi ya kuzungumza.
 
Marais wanaopenda kuvaa kofia za namna hiyo huwa ni wazalendo wa ukweli kabisa.Na tz tulimpata anaye vaa kofia kama aliyo vaa hichilema na alikuwa mzalendo kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi Watanzania baana Sasa ivi tumekuwa machawa wa Hakainde Hechilema. Tunaacha kuona mazuri ya Viongozi wetu ya usambazaji wa huduma vijijini, maji, vituo vya afya, umeme, elimu bila ada, ruzuku ya mbolea. Tunamsifia HH Kwa maneno Yale ya twitaa

Acha wawe machawa, nyie kipindi cha mwendazake mmesahau wao walivyokuwa machawa hadi na sisi tukawa tunajidai.
 
Back
Top Bottom