Hakainde Hichilema!

Hakainde Hichilema!

HH ni Best President kwa sasa kuzidi majirani zetu na sisi wenyewe. Kwanza toka ameingia ikulu emekataa kulpwa mshahara, ameshasema watoto wake hataki waingie serikalini kugombea ajira bcozi wengi maskini hawana ajira hzo nafasi wapewe waliotoka family masikini , mwezi juzi alitoa ajira za ualimu,police,jeshi na madaktari mpaka logistic System ya Zambia iliyumba, ilikua ni ngumu kupata usafiri through the Entire country bcoz of the movement of the workforce.
Yuko kufungua new Mines in different places, kias cha kuboost employment kwa kasi ya hali ya juu...He is the humbling Leader sjapata ona ukanda huu. Angalieni dressing code yake, very cheap .Huku kwetu minister tu wa finance Anatembelea gari la mamilioni ya kujenga hospitali kumi
Sisi tumelogwa mahali walahi .
 
Kumbe unajua wazi kwamba kwa sasa kuna watanzania wanaokamuliwa na wasio watanzania ambao wananyonya tu kwa mirija?

Ndio maana sisi watanzania tunalalamikia huko kukamuliwa kwasababu hatuna nchi nyingine ya kwenda! Na hakuna njia nyingine ya kutoa maumivu ya huko kukamuliwa zaidi ya kuzungumza.
na mkamuliwe haswaa
 
Back
Top Bottom