Hakatwi mtu hapa...hakatwi mtu chochoteee!!Umekosa kunawa mikono kwa maziwa na kujipaka siagi miguuni.
Hakatwi mtu hapa
Hahahahaha...meipenda hii
Haya shemkwe...hii she she she lol kama tupo Tanga!!
Hakatwi mtu hapa...hakatwi mtu chochoteee!!
eeh vipi kwani kuna kukatana?. Preta...jiangalie ucje kukatwaHakatwi mtu hapa...hakatwi mtu chochoteee!!
hakatwi mtu hapa!
Ndo mtoke kiduchu tuwaonee
Hakika....Ha ha ha...shemkwe mimi na wewe tena kwetu si ndio mapenzi yalipozaliwa
Ndo mtoke kiduchu tuwaonee
Mwambie huku hakatwi mutu chochote!ndo tumetoka sa hivi babe wangu figganigga ndio najaribu kumuelezea yanayoendelea
....ndioMapenzi yamezaliwa wapi? Kwenu?