Hakeem 5: Ali kiba ana roho mbaya, siwezi kumuomba msamaha

Hakeem 5: Ali kiba ana roho mbaya, siwezi kumuomba msamaha

Hata Wamarekani walimwita Mandela, GAIDI
 
Hao wanajuana vizuri kama H5 kaongea hayo basi ndio Ukweli maana kibakuli mda mwingi ni mtu wa lawama ambazo ndio Tabia za wanafiki.
 
Atakuwa katumwa na domo au sallam kumuharibia kipenzi cha watu king kiba
 
Kuna MTU nilisha wahi kumuuliza aniambie sababu yoyote inayomfanya ahisi watu wanampenda au wanamchukia,na jibu lake akaniambia hajui hata mojaiii nikamuulize uliza tena niambie kuhusu majirani zako,akaanza hivi ,upande wa kushoto wa nyumba yangu kuna jirani yetu Moja ni MTU wa makamo Na ni anaumbo kubwa ,hupenda kuvaa nguo zilibana Na Huwa nabadilisha viatu, Na upande wa kulia yupo Mwingine yeye ni MTU wa kulinga Na Huwa hasalimii watu,anaweza akakuuta Na kukupita Kama hakuoni,na upande wanyuma kuna jirani yetu Moja huyu anasifa ya kuoa Na kuacha,ana mtoto mmoja Ila nahisi si wake,HAhaha kweli habari za Tajiri muulize maskini Na habari za maskini muulize maskini mwenyewe
 
Kiba hana roho mbaya Kwanza hata mkoa aliotokea hawana roho hizo
 
tatizo kubwa wabongo hatuwezi kuishi maisha yetu, mimi nikitoka kazini nikaingia ndani nimetulia wabongo watasema najiona wakati ni maisha niliyojipangia
Hilo ni kweli kabisa.
 
Sio siri, kiila siku zinavyokwenda nazidi kugundua utofauti kati ya

Wanaume wa Dar na Wa mikoani.
 
Hata mondi nae ana roho mbaya mbona hamsaidii... Kashachuja huyo watu wanapiga kazi siku hizi hawauzi sura
 
Back
Top Bottom