Kuna MTU nilisha wahi kumuuliza aniambie sababu yoyote inayomfanya ahisi watu wanampenda au wanamchukia,na jibu lake akaniambia hajui hata mojaiii nikamuulize uliza tena niambie kuhusu majirani zako,akaanza hivi ,upande wa kushoto wa nyumba yangu kuna jirani yetu Moja ni MTU wa makamo Na ni anaumbo kubwa ,hupenda kuvaa nguo zilibana Na Huwa nabadilisha viatu, Na upande wa kulia yupo Mwingine yeye ni MTU wa kulinga Na Huwa hasalimii watu,anaweza akakuuta Na kukupita Kama hakuoni,na upande wanyuma kuna jirani yetu Moja huyu anasifa ya kuoa Na kuacha,ana mtoto mmoja Ila nahisi si wake,HAhaha kweli habari za Tajiri muulize maskini Na habari za maskini muulize maskini mwenyewe