Haki au Amani?

o_2

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
428
Reaction score
385
Leo ni siku ya wafanyakazi Duniani.

Majobless inatuhusu pia kujua nini kinaendelea duniani. Kujua tu inatosha.

Sasa kwenye mada moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Haki au amani, wewe unachagua nini?

Nasoma maoni yako.
 
Hapajawahi kuwa na amani pasipo haki! Haki daima huzaa amani. Akili kichwani.
 
Nachagua amani sababu katika maisha nilibarikiwa baada ya kuchagua amani.Anayekufukuza mwache aende anaye ngangania kitu mwachie Mwenyezi Mungu pamoja na muda utamfundisha huyo mtu alichopoteza
 
Reactions: o_2
Nachagua amani sababu katika maisha nilibarikiwa baada ya kuchagua amani.Anayekufukuza mwache aende anaye ngangania kitu mwachie Mwenyezi Mungu pamoja na muda utamfundisha huyo mtu alichopoteza
Umechagua njia njema ambayo inapitwa na wachache.

Ukipigwa kofi kulia, mgeuzie na la kushoto sio

[emoji856]
 
Kwenye haki hakuna amani
Amani ni matokeo; na matokeo hayaji hivi hivi bila process. Process mojawapo ni kutenda haki. Amani ni tunda la haki not otherwise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…