Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechagua njia njema ambayo inapitwa na wachache.Nachagua amani sababu katika maisha nilibarikiwa baada ya kuchagua amani.Anayekufukuza mwache aende anaye ngangania kitu mwachie Mwenyezi Mungu pamoja na muda utamfundisha huyo mtu alichopoteza
Amani ni matokeo; na matokeo hayaji hivi hivi bila process. Process mojawapo ni kutenda haki. Amani ni tunda la haki not otherwise.Kwenye haki hakuna amani