SoC02 Haki, elimu

SoC02 Haki, elimu

Stories of Change - 2022 Competition

Hummy

New Member
Joined
Aug 28, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Katika Kijiji cha ntakuja kulikuwa na familia ya mzee chales ambaye alikuwa na watoto wawili wakike na wakiume mzee chales alikuwa na fikra mbaya na tamaduni zakizamani kwamba mtoto wa kike hatakiwi kusoma Bali wakiume kila siku binti yake alivyokuwa akimuomba ampeleke shule halimwambia unatakiwa kukaa ndani na kusubiri kuolewa huku wakiume ambaye ni John alikuwa akienda shule.

Siku moja mzee chales aliamua kumtafutia binti yake mume wakumuoa ingali binti yake alikuwa na umri mdogo lakini hakujari akaamua kumtafutia mume wenye umri sawa na yeye mkewe Mzee Chales alipinga kitendo kile kwa sababu akikupenda lakini aliishia kipigo tu,mzee chales akapanga siku ya ndoa na siku ya kuja kumchukua binti huyo upendo.

Upendo aliudhunika sana kwasababu alikuwa anapenda kusoma lakini hakuwa na namna alizidi kumuomba baba yake lakini alikataa na kumalizia na kipigo ndioo kuna siku walikuwa wame kaa kibalazani na mama yake pamoja na kaka yake John wakasikia tangazo kwenye redio kuwa

"Ni kosa kisheria kumuozesha mtoto mwenye umri mdogo haki itachukuliwa kwa yeyote atakaye jaribu kufanya hivi adhabu kali itatolewa kifungo cha miaka 30 mama,baba,mtoto kataa unyanyasaji mpe haki mtoto ya malezi "

Mama yake Upendo akamuangalia mwanae kisha akamwambia usikate tamaa mwanangu utasoma tu mungu yupo na wewe. Ilipofika siku ya harusi Kama kawaida Bibi harusi alikuwa tayari amesha andaliwa ndioo mama yake pendo akaamua kwenda polisi nakushtaki kitendo alichofanya mzee chales polisi walivyofika nyumbani kwa mzee chales wakamkamata yeye na huyo mzee kilonga ambaye alikuwa anataka kumuoa binti yake na kuukumiwa kifungo cha miaka 30,na Upendo akaenda shule.
 
Upvote 3
SoC 2022 - Njia/Mbinu za molekuli ya baiolojia ni kiboko ya majanga ya Dunia mfano Ugonjwa wa virusi vya korona. Ni muhimu katika Sekta ya Afya nchini


Hongera kwa makala nzuri na yenye tija, kura yangu umeipata ningeomba maoni na kura yako kwa kubonyeza link mbili hapo juu
Ahsantee
 
Back
Top Bottom