Haki iko wapi?

Haki iko wapi?

Kaka1

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
87
Reaction score
22
Haki ni lazima mtu apewe wala siyo ombi.

Wanachuo UDSM,TEKU,UDOM tupo field mwezi umekwisha bila hata malipo.
Serikali kuweni na huruma acheni roho za mabavu,shida ni nn?

Tanzania kila jambo siasa tu,ni kweli mnamamlaka lakini tendeni haki, ni mazingira kama haya tungekua chuo kungekua na maandamano ya kihistoria.

TENDENI HAKI HAMTA DUMU MILELE HAYA MAISHA TU.

SIPATI PICHA KIPINDI HIKI KAMA KUNGEKUA UCHAGUZI MKUU!

Kampeini zingejipiga zenyewe.
 
pia kuna vyuo kama ifm hawajapewa
 
duh sisi tumesaini na pesa hatujapata. tatzo la huyu m/kit wa msoga kawa msanii xana watu wamekwapua pesa hazina yy kakaa kimya anakenua meno 39 nje. yaan kaanzisha bunge la katiba kumbe alikuwa hataki katiba it was thé way forward kutafuna pesa zetu ss wananchi. matokeo yake hazina haina fedha . kwakweli j kei umeaibisha taasis ya uraisi. wacha tuteseke tu mnaua taïfa ili mtawale milele ? mmehamia kwenye elimu nako bila woga eti big result now , Eeeh watanzania tumerogwa na nani. heri wanasiasa wacngekuwepo.
AFRICA
 
Back
Top Bottom