Ukweli ni kuwa nina sababu nyingi zinazonifanya nishindwe kutowa talaka,nae analijuwa hilo!
Kwa nini mwanamke hawezi kutoa talaka?
Mimi nilidhani mume ama mke ndo anaweza kuomba talaka (kwa kufungua shauri mahakamani) na ni jaji ndiyo mwenye kuitoa. Au sielewi?
unalo hilo,kama stori zako ndio zile za kuongeza mke wa pili kisa dini inaruhusu wacha akufanyie visa....she is just frustated,anataka ujirudi ulipokosea....sidhani kama anataka talaka,angekuwa anaitaka angeshakuburuza mahakamani au kwa wazeee....
Uko sahihi kabisa kuwa mwanamke anaweza kudai talaka lakini hawezi kutowa talaka! Hili la mahakama linakuja baada ya kukosa makubaliano.
wanasema za kuambiwa changanya na zakoWallahi kama angefanya hivyo ningehisi afuweni.
Pengine sasa mnaweza kuona kwanini niliamuwa kutaka kuowa mke wa pili. Kuna mtu nilipomweleza matatizo yangu alinishauri hivyo.
Sasa mwanamme anatoaje talaka? Sheria inampa mamlaka ya kutoa? Na kama mwanamme anatoa talaka ina maana jaji hana umuhimu katika shauri la talaka?
Sijui kwa dini nyengine lakini kwa dini ya kiislamu mume ndie anaetoa talaka na hakuna hata haja ya kushirikisha jaji au mahakama. Anachotakiwa ni kuwa na mashahidi anapofanya hicho kitendo, infact anatakiwa kutamka tu mfano "fulani binti fulani nimekuwacha, wewe si mke wangu" and thats wameachana, yanayofuata baadae mambo ya kuregister na mengineyo yanategemea na sheria za nchi mliopo. Kwa ufupi mume akishatamka tu kuwa nakuacha basi ndio mke ameachika hata kama mume hakuweka signature popote pale.
Wallahi kama angefanya hivyo ningehisi afuweni.
Pengine sasa mnaweza kuona kwanini niliamuwa kutaka kuowa mke wa pili. Kuna mtu nilipomweleza matatizo yangu alinishauri hivyo.
Duuh! Kama ni kweli hivyo ndivyo ilivyo basi kaazi kweri kweri.
Yaani kwa hiyo ina maana mwanamke anaweza akawa kwenye abusive marriage na asijichomoe toka kwenye hiyo hali hadi mumewe apende? Hata akipigwa mangumi na kung'olewa meno hana jinsi....ni kuvumilia na kusamehe saba mara sabini?
I am trying to make sense of that nonsense but I just can't.
Mkuu Divorce ni swala la kisheria zaidi kwa dini zote mbili uislamu na ukristo, na marriage certificate kwa dini zote zinatolewa na serikali hivyo basi mbele ya court of law kama hakuna divorce document ya mahakama hapo mwanamke ana uwezo wa kuclaim madai yoyote anayostahili kuclaim mke.
Ndio maana wakristo wanasema ndoa ya kanisa utenganishwa na kifo tu, lakini mkristo ukiamuwa kuachana na mume/mke unakwenda kuflame kesi mahakamani na Jaji ana mamlaka ya kuvunja ndoa hiyo kitu utakachomis wewe ni kwamba kanisa litakuwekea pingamizi kufunga ndoa nyingine kwahiyo utapaswa kufunga ndoa ya kiserikali au kimila tu. thats it
NB: Mambo haya ya ndoa kwa Nyumbani Tanzania yanaendeshwa kwa kutumia busara zaidi kuliko sheria kama walivyo wenzetu mamtoni ambao wao wanaongozwa na sheria tu.
Najuwa tuko wengi tunaoamini utaratibu wa mwanamme kuwa na haki ya kutowa talaka. Mlio kwenye kundi hili nawaombeni ushauri wenu kwa vile mtanielewa nini kinachonisibu.
Mwenzangu, nikimaanisha mama watoto wangu ana nifanyia visa eti kwa kuwa mimi ndie ninaeweza kutowa talaka kwake!
Duuh! Kama ni kweli hivyo ndivyo ilivyo basi kaazi kweri kweri.
Yaani kwa hiyo ina maana mwanamke anaweza akawa kwenye abusive marriage na asijichomoe toka kwenye hiyo hali hadi mumewe apende? Hata akipigwa mangumi na kung'olewa meno hana jinsi....ni kuvumilia na kusamehe saba mara sabini?
I am trying to make sense of that nonsense but I just can't.
Kuna siku Mwanakijiji alianzishaga mada kuhusu kulegeza sheria ya ndoa Tanzania na kugusia kama kuwepo na kipengele cha "no-fault" divorce, na mimi nilipounga mkono watu hawakunielewa kabisa.
Ila sijabadili mtazamo. No-fault divorce bado naifagilia, tena sana tu. Na kwa Tanzania ndoa nyingi ni maigizo tu. Wanandoa wanazini kuliko ambavyo watu wako tayari kukiri.
Midanguro (gesti) imejaa kila kona na patrons wake wengi nadhani ni wanandoa. If that's not the apex of hypocrisy, then what is?
Umegusa penyewe na ukikaa na hao wanandoa wanakutajia na mida yao mizuri ya kuzuka huko ili husband/wife asijue teh teh teh teh......bongo tambarare!
Kwa mimi mwenye experience ya kutafuna wake za watu muda mzuri wa kumla mke wa mtu ni kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 10 jioni make sure umemrelease na kwa wanaume walioowa sishauri uchukuwe demu baada ya kupombeka usiku ndio unaenda naye kwenye game ukinogewa ni lazima ulale nje au urudi home alfajili, hapa unaaribu ndoa yako mwenyewe. kwahiyo mwanaume unashauriwa uache kazi ufanye kazi mida ya kucheat walio kwenye ndoa ni saa 4 asubuhi mpaka saa 10 jioni, saa 12 jioni upo kwa mkeo kimyaa!!Umegusa penyewe na ukikaa na hao wanandoa wanakutajia na mida yao mizuri ya kuzuka huko ili husband/wife asijue teh teh teh teh......bongo tambarare!
Kwa mimi mwenye experience ya kutafuna wake za watu muda mzuri wa kumla mke wa mtu ni kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 10 jioni make sure umemrelease na kwa wanaume walioowa sishauri uchukuwe demu baada ya kupombeka usiku ndio unaenda naye kwenye game ukinogewa ni lazima ulale nje au urudi home alfajili, hapa unaaribu ndoa yako mwenyewe. kwahiyo mwanaume unashauriwa uache kazi ufanye kazi mida ya kucheat walio kwenye ndoa ni saa 4 asubuhi mpaka saa 10 jioni, saa 12 jioni upo kwa mkeo kimyaa!!