robertmpumilwa
Member
- May 15, 2016
- 47
- 14
naomba kuuliza!hivi sheria ipoje kwa mtu kuchukuliwa kwa kuhisiwa kuwa ni mwizi na kufungiwa ndani na mtu mmoja anayemhisi kamuibia na kumpiga na vitu vyenye icha kali ikiwa ni pamoja na visu, koreo, nk!
Hadi kumnyofoa kucha zote na kumchanachana mwili mzima na kumnyofoa nyofoa nyama mwilin na kumkata kata sehem zake za siri kisha kumpeleka polis baada ya kumfanyia ukatili huo!!
Na alipofika polisi kamkabidhi muathirika na hilo tukio na yeye kurudi uraian akiwa na furaha na polis wasichukue hatua yeyote kwa mtendaji wa ukatil huo!!
Naomba kujifunza hapo sheria zipoje.
Nawasilisha