INSPEKTA WA POLISI AMWAGA MAZITO YA KUHAKIKISHIA RAIA USALAMA NA USHIRIKIANO OKTOBA 29
Hello, important plz.
Mimi ni police rank ya inspector, naomba nikujuze kwamba tumeshajipanga vizuri kuikomboa nchi, wa Tanzania wasiogope kutoka ndani na wala wasiogope hayo magari hivyo ni vitisho tu lakini ukweli tunaujua sisi moyoni. Natambua bado kuna askari wasiojielewa wanaovuta bangi na kujires kipumbavu hao tuachieni tutawatengeneza hawataamini macho yao!
Mimi na wenzangu wenye akili timamu tunatambua kwamba
1. Tarehe 29 ndio siku ya 1 ya sisi raia kukomboa taifa
2. Tarehe 29 ni siku ya sisi Police kurudisha heshima yetu kwa jamii kwa mapenzi na uaminifu mkubwa maana naamini kabisa Watanzania watatusamehe makosa yetu yoteee na tutatengeneza heshima kubwa kwenye kazi yetu na kwa viongozi wajao watatupatia stahiki zetu zote na tutaishi maisha mazuri na ya hadhi kama waishivyo maofisa wa TRA.
3. Tarehe 29 ni siku ya kuchagua utajiri au umaskini wa kutupwa zaidi ya huu tulionao maana ukweli ni kwamba kuanzia constable hadi inspector utapewa tsh 40,000 ya pongezi kwa ushetani uliofanya huku wao wakubwa wa polisi akina IGP, DPP, DIC, ZPC, RPC wakilipana mabilioni ya boss wao fisadi Samia na genge lake
4. Nakukumbusha wewe police mwenzangu usie na hekima kwamba tarehe 29 IGP wako, huyo Awadhi na DCI watakuwa ndani majumbani kwao au ofisini kuangalia instagram jinsi unavyowapambania wao na maboss wao mafisadi! Lolote litakalokupata, utakuwa unalinda maslahi ya vigogo hawa wachache.
5. Nakukumbusha pia wewe police mwenzangu usiyetaka KUTEREMSHA BUNDUKI, na ukatii amri ya kiongozi yeyote anayekuamuru piga hao na ukaua, ni muhimu ujue mahakamani utasimama peke yako na huyo inchage wako atakutolea ushahidi mbele ya hakimu kuwa uliua mbele yake.
6. Wewe police mwenzangu uliapa kutenda HAKI na sio kusaidia wahuni na wauaji wakubwa wanaotaka kuzidi kututumia kwa maslahi yao, inasikitisha sana.
7. Kumbuka viongozi wako hao akina IGP, DCI, ZCC, ZCO, na baadhi ya ma RPC watahamisha familia nje ya nchi baada ya wewe kuua watu na wewe ndio yule familia yako huna pa kuipeleka zaidi ya hapo ulipo na utashuhudia mwanafamilia wako mmoja baada ya mwingine akiangamizwa n wananchi wenye hasira kali kama ulivyoangamiza wengine.
8. Ni wewe police ndiye umeshika hatma ya hili taifa mpaka sasa na ukitumia busara kama tulivyokubaliana mpaka saa 3 asubuhi nchi imekombolewa, wewe uko salama na raia wako salama, waovu wamekimbia au tumewakamata wote ili wahukumiwe kisheria,
Kumbuka tuliyokubaliana ni
1. Tutaingia barabarani na vifaa vyote na silaha zote Oktoba 29 ila hakuna kupiga bomu la machozi, wala maji washa wala risasi,
2. Hakuna kutekeleza amri yoyote ya kiongozi anayetaka tupige au kudhuru raia wenzetu, akiona inafaa yeye apige mwenyewe na tukiona anataka kudhuru watu tunamshusha kwenye gari na kuwapa wanachi wamshughulikie.
3. Tuna hamu na mabadiliko sana sana wakumbushe viongozi wa police, rpcs, op officer na ma ocd wawe makini na amri zao hiyo siku ya Oktoba 29 maana inaweza kuwa mwisho wa uhai wao maana sisi askari tuna hasira nao sana.
4.Mwisho wakumbushe askari wa Cheo cha chini mpaka inspector kwamba ndo tumeibeba nchi maana ndio watenda kazi wakubwa na sio viongozi wanaokaa maofini au kuamuru wakiwa kwenye magari! wale wenye ujinga kichwani hiyo siku ujinga waache ndani barabarani ni makubaliano yetu kwa kusonga mbele.
Tanzania mpya imeshakuja Tunawapenda na Amani imerejea
Hide my ID