Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Mtaarishie yule msifungono ndege ya kwenda kwao chatoPiga spana Wasaliti wa Nchi [emoji28][emoji28] lissu atapewa kura na robert tu
Wasaliti,wanaodhulumu haki kwa raia wait wenyewe.Piga spana Wasaliti wa Nchi [emoji28][emoji28] lissu atapewa kura na robert tu
Huwezi kamwe ukasubiri utendewe haki na tume ya CCM wakati wewe ni mpinzani, watanzania tuache ujinga huu!Kuna neno gumu sana kutamkwa na wagombea wa vyama wakiwa wanafanya kampeni, Kama ww unaamini neno hili ni rahisi kutamkwa comment hapo chini kwa kuandika HAKI ITATENDEKA, KILA MGOMBEA ATAPEWA HAKI YAKE UCHAGUZI MKUU ukimalizia na jina la chama chako mfano " HAKI ITATENDEKA, KILA MGOMBEA ATAPEWA HAKI YAKE UCHAGUZI MKUU- Nccr Mageuzi.
Tuone wenye mapenzi mema na nchi yao na watakuwa mabalozi wa Amani hapa nchini
Twende kazi.
Ongeza KihalaliNeno gumu zaidi kutamkwa kwenye kampeni na wagombea hasa wa nafasi ya Urais ni "Nikishindwa kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki nitakubali matokeo na kumpongeza mshindi"
Mama UbwabwaHAKI ITATENDEKA, NA KILA MGOMBEA ATAPEWA HAKI YAKE....CHAUMA
Jibu swali hatuzungumzii msaliti hapa mbona unakuwa kama sio muelewaMsaliti ni yule aliyelipwa mabilion kuwatetea Mabeberu yatuibie raslimali zetu
Lishe ni issue Sana nchi hii. CHAUMA kimekuja na jibuMama Ubwabwa
Hakika, nambie umegombea udiwani auLishe ni issue Sana nchi hii. CHAUMA kimekuja na jibu
Ni katibu wa Chauma taifa, na meneja kampeni wa mgombea urais....H. Rungwe.Hakika, nambie umegombea udiwani au
Ni katibu wa Chauma taifa, na meneja kampeni wa mgombea urais....H. Rungwe.
Hahaha! Mkuu karibu chauma makao makuu nikupe kadi na cheo. Msibanane kwenye vyama vya wenyewe hukoebu ka picha dm nikuone ukiwa na uniform ya chauma tafadhali nitakwambia kitu kizuri
Nimekaribia njoo inboxHahaha! Mkuu karibu chauma makao makuu nikupe kadi na cheo. Msibanane kwenye vyama vya wenyewe huko
Posho imetoka nini? maana hii speed si ya kawaidaMsaliti ni yule aliyelipwa mabilion kuwatetea Mabeberu yatuibie raslimali zetu
Mbona Lisu alisema akishindwa kwa haki atakua wa kwanza kukubali matokeo? su mpka waliandikie bango?Neno gumu zaidi kutamkwa kwenye kampeni na wagombea hasa wa nafasi ya Urais ni "Nikishindwa kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki nitakubali matokeo na kumpongeza mshindi"
Ni kweli Mkuu, Lisu katamka hivyo kwa kinywa kipana kabisa. Lakini kwenye uchaguzi huu kuna wagombea 15. Hatujasikia kauli kama hiyo kutoka kwa wagombea wengine. Hiyo ndio ilikua maana yangu Kiongozi wanguMbona Lisu alisema akishindwa kwa haki atakua wa kwanza kukubali matokeo? su mpka waliandikie bango?