Uchaguzi 2020 HAKI ITATENDEKA ni Neno gumu sana kutamkwa na wagombea ngazi zote kwenye kampeni

Uchaguzi 2020 HAKI ITATENDEKA ni Neno gumu sana kutamkwa na wagombea ngazi zote kwenye kampeni

Kuna neno gumu sana kutamkwa na wagombea wa vyama wakiwa wanafanya kampeni, Kama ww unaamini neno hili ni rahisi kutamkwa comment hapo chini kwa kuandika HAKI ITATENDEKA, KILA MGOMBEA ATAPEWA HAKI YAKE UCHAGUZI MKUU ukimalizia na jina la chama chako mfano " HAKI ITATENDEKA, KILA MGOMBEA ATAPEWA HAKI YAKE UCHAGUZI MKUU- Nccr Mageuzi.

Tuone wenye mapenzi mema na nchi yao na watakuwa mabalozi wa Amani hapa nchini

Twende kazi.
Haki imeshavunjwa, haitendeki na sitegemei kutendeka CHADEMA

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Piga spana Wasaliti wa Nchi [emoji28][emoji28] lissu atapewa kura na robert tu
Usaliti upi? Usaliti wa kumbambikia tokea lini ukakubalika kwa watu wenye Akili timamu?
 
Lissu alikuwa analipwa mabilion na Mabeberu ili awatetee bungeni kutuibia rasmali zetu

Hii laana haitamuacha salama
Lisu ndiyo aliwaleta wazungu kuja kuiba madini mwaka 1998? Lisu ndiyo alipitisha mikataba mibovu ya madini Bungeni? huko Belgium lisu alikwenda mwenyewe? Kama siyo wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium?
 
Lissu alikuwa analipwa mabilion na Mabeberu ili awatetee bungeni kutuibia rasmali zetu

Usaliti ni laana
Acha uongo wako mwaka 1998 Lisu ndiye mtu wa kwanza kupiga kelele juu ya mikataba mibovu ya madini na mtukufu magufuli alikuwa Bungeni kupitisha mikataba hiyo pasipo kupinga chochote
 
Magufuli akisikia neno 'Mishahara ya Watumishi'
Anapata kihoro.. Sijui kwanini kaamua fuata njia hiyo..
 
Back
Top Bottom