Makorokoro Bondeni
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 1,300
- 1,969
Hizo siyo kesi za kupata dhamana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ccm mlipowasamehe wabakaji na wafiraji,mkawaalika ikulu,mkanywa nao juisi na kuwashika mikono na kuwapa mke mlifikiri nini?Watoto sahv wanatombw wanaflw yaani balAaaa juu ya balaa
Ova
kwa she ria ipi mkuu?Tangazo atakae patikana kulawiti/kubaka watoto apigwe 'miti' hadharani na anyongwe.
Yule Rc sjui dc aliyemtundua mtoto wa watu mpaka kumtoa kinyesi kesi yake imefikia wapiNyie ccm mlipowasamehe wabakaji na wafiraji,mkawaalika ikulu,mkanywa nao juisi na kuwashika mikono na kuwapa mke mlifikiri nini?
Umri huo watoto wengi hata vititi bado havijatoka,sasa nashindwa kuelewa nadhan ni mambo ya kiganga.Kuna mambo ukiyafikiria unashindwa kupata jawabu,hivi mtoto wa miaka 11 anakuvutia nini hadi unapata ushawishi wa kutaka kufanya naye mapenzi? Au ni ushirikina!
Serikali itumie nguvu kubwa kudhibiti hili tatizo hata ikibidi kutunga sheria kali na katili dhidi ya wabakaji na walawiti hasa kwa wale watoto wadogo wa kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Unajua kuwa mtoto ana mwamini sana mwalimu wake kuliko kitu mtu yeyote!? Mimi ni mwalimu Nina mtoto wangu anasoma shule fulani,Huwa najaribu kumfundisha awapo nyumbani Lakini mwisho wa siku Huwa tunabishana kuwa mwalimu wangu alinifundisha hivi na hatki kufuata ninachomfundisha ikiwa kitakuwa nje na alivyofundishwa na mwalimu wake.Hao wazaz wanaona kusema yes no sijui dady ndo chanzo ilikuaje mtt kamaliza masomo are mwalimu akuombe akashereke nae wakt shep la mwanao unalijua dah mnafeli waxaz
Watu wa namna hii nikuwapiga sindano wabaki magalasaKuna mambo ukiyafikiria unashindwa kupata jawabu,hivi mtoto wa miaka 11 anakuvutia nini hadi unapata ushawishi wa kutaka kufanya naye mapenzi? Au ni ushirikina!
Serikali itumie nguvu kubwa kudhibiti hili tatizo hata ikibidi kutunga sheria kali na katili dhidi ya wabakaji na walawiti hasa kwa wale watoto wadogo wa kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Hata mimi nachoka kabisaKuna mambo ukiyafikiria unashindwa kupata jawabu,hivi mtoto wa miaka 11 anakuvutia nini hadi unapata ushawishi wa kutaka kufanya naye mapenzi? Au ni ushirikina!
Serikali itumie nguvu kubwa kudhibiti hili tatizo hata ikibidi kutunga sheria kali na katili dhidi ya wabakaji na walawiti hasa kwa wale watoto wadogo wa kuanzia miaka 14 kushuka chini.
Sio maradhi porn imewaharibuBinadamu tuna matatizo mengi sana.
Kuna watu wana maradhi ya kutamani watoto wadogo.
Ndio maana siku hizi usikilize mambo ya "usifungie watoto", utakuja kulia
Ni kweli , ila sasa hivi yamezidi. Vijana hawa wa porn wamevurugwa sanaNot only siku hizi; hayo mambo yapo toka kale; kale sana hukooo!
Hawa walimu wa siku hizi maadili yao ni sifuri kabisa. Ngoja afungwe ili Liwe fundisho kwa wengine.Kuna jambo ambalo naomba nifikishe hapa ujumbe ili ujumbe huu ufike kwenye Mamlaka za juu, nimeamua kufanya hivi baada ya kuona kile ambacho kimeripotiwa na yule Mwanachama mwingine wa JF kuhusu Shule ya Msingi ya Green Acres ambapo Mwalimu Mkuu anadaiwa kumlawiti Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 11.
Kuna Mwalimu wa Shule ya Kingdom Heritage Model School (KHMS) iliyopo Banana Jijini Dar es Salaam ambaye jina lake la kwanza ni Lawrence anadaiwa kumbaka binti mwenye umri wa Miaka 11 ambaye ni Mwanafunzi wa shule hiyo.
Suala hilo limefika Polisi na mtuhumiwa ameshikiliwa lakini taarifa nilizozisikia wanataka kumuachia huku hatma ya mtoto ikiwa haijulikani.
Ninachojiuliza nini hatma ya Watoto wetu kama kuna mwendelezo wa matukio ya aina hii kwenye hizi Shule za Msingi?
Ujumbe huu ufike kwa Waziri Dkt Gwajima, Waziri Mkuu na Rais Samia, huu ni mfano tu wa kinachoendelea mitaani na inawezekana kuna matukio mengi ya aina hiyo yanatokea mitaani lakini hayaripotiwi.
===============================
MAMA MTOTO AZUNGUMZA
JamiiForums ilipowasiliana na Mama wa Mtoto kuhusu suala hilo, amesema:
Huyo Mwalimu alimchukua Mtoto akamdanganya kuwa anataka kusherekea naye baada ya kuwa amefanya vizuri darasani, akampeleka nyumba ya wageni, akamfanyia alichomfanyia, baadaye mtoto aliporejea nyumbani akatujulisha.
Tukaenda Polisi, wakatuambia twende Hospitali ya Serikali, akafanyiwa vipimo, baadaye huyo Mwalimu akakamatwa na kuwekwa ndani Kituo cha Stakishari.
Nilipofika Polisi, nilifanikiwa kuonana na huyo Mwalimu (mtuhumiwa), hana la kusema zaidi ya kusema anaomba tu msamaha, Shuleni kwa Mtoto wao tumeonana nao kupitia Mkuu wa Shule na Mwenyekiti wa Bodi ya Shule, wao wanasema wapo pamoja na sisi hadi haki itendeke.
MWALIMU MKUU, DENIS MAGARI:
JamiiForums ilipowasiliana na Mkuu wa Shule ya Kingdom, Denis Magari amesema:
Sina hiyo taarifa, kama suala lipo Stakishari uwaulize Polisi, unataka nizungumze nini?
Hiyo ni jinai, kama limeshafika Polisi waulize hao, hilo ni suala binafsi haijafanya shule, hivyo mimi sina majibu ya kukupa.
Kuhusu kuchukuliwa hatua ndani ya Shule hilo ni suala la Management, kama amekamatwa waulizwe wanaohusika na ajira, mimi sio msemaji wa jambo hilo.
Kwanza hatuna huyo Mwalimu, hilo ndilo jibu la Shule.
Afisa Elimu Wilaya ya Ilala, Magreth Macha
Alipoulizwa na JamiiForums kuhusu shauri hilo, amesema: Suala hilo halijafika ofisini kwangu lakini kama limefika Polisi basi lipo sehemu sahihi.
Suala kama hilo lilitakiwa liripotiwe na Mwalimu Mkuu wa Shule, alitakiwa kuwasilisha taarifa kwetu kisha mchakato mwingine ufuatwe.
JamiiForums ilipohoji kama Mwalimu Mkuu hataripoti kwa maslahi ya Taasisi yake, Magreth amesema: Ngazi ya shule kuna mamlaka ambazo zinahusika kupokea changamoto kama hizo kabla ya kwenda hatua ya mbele.
Pia soma:
~ Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?
~ Dar: Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake afikishwa Mahakamani
Dr.Msukuma anasema miaka kumi to brazia tayariUmri huo watoto wengi hata vititi bado havijatoka,sasa nashindwa kuelewa nadhan ni mambo ya kiganga.
Hii habari mwisho wake imekuaje, maana nina watoto wanasoma hapo. Je upelelezi ulifanyika kubaini ukweli wa tuhuma hizo?Kuna jambo ambalo naomba nifikishe hapa ujumbe ili ujumbe huu ufike kwenye Mamlaka za juu, nimeamua kufanya hivi baada ya kuona kile ambacho kimeripotiwa na yule Mwanachama mwingine wa JF kuhusu Shule ya Msingi ya Green Acres ambapo Mwalimu Mkuu anadaiwa kumlawiti Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 11.
Kuna Mwalimu wa Shule ya Kingdom Heritage Model School (KHMS) iliyopo Banana Jijini Dar es Salaam ambaye jina lake la kwanza ni Lawrence anadaiwa kumbaka binti mwenye umri wa Miaka 11 ambaye ni Mwanafunzi wa shule hiyo.
Suala hilo limefika Polisi na mtuhumiwa ameshikiliwa lakini taarifa nilizozisikia wanataka kumuachia huku hatma ya mtoto ikiwa haijulikani. Inadaiwa kuna baadhi ya Askari Polisi wanashirikiana na upande wanaomtetea Mwalimu kutaka kulimalia suala hilo kimyakimya.
Inadaiwa wanawaambia kuwa suala hilo ni zito hivyo wanatakiwa wanyooshe mkono ili wao walimalize kimyakimya.