DOKEZO Haki itendeke kesi ya Mwalimu wa Shule ya Kingdom Heritage (Banana – Dar) kutuhumiwa kumbaka Mwanafunzi wa Darasa la Saba

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Umri huo watoto wengi hata vititi bado havijatoka,sasa nashindwa kuelewa nadhan ni mambo ya kiganga.
 
Hao wazaz wanaona kusema yes no sijui dady ndo chanzo ilikuaje mtt kamaliza masomo are mwalimu akuombe akashereke nae wakt shep la mwanao unalijua dah mnafeli waxaz
Unajua kuwa mtoto ana mwamini sana mwalimu wake kuliko kitu mtu yeyote!? Mimi ni mwalimu Nina mtoto wangu anasoma shule fulani,Huwa najaribu kumfundisha awapo nyumbani Lakini mwisho wa siku Huwa tunabishana kuwa mwalimu wangu alinifundisha hivi na hatki kufuata ninachomfundisha ikiwa kitakuwa nje na alivyofundishwa na mwalimu wake.


Hata mtoto (mwanafunzi )wa miaka 18 ikiwa Mimi nitamwambia jambo bila kuonesha dalili za kumtongoza mfano nimwambie kesho uje kwangu hawezi kataa maana ananiamini Mimi ni mwalimu wake na hakuna Baya naweza mfanya..

Kwahiyo mwalimu ana kosa kuwa Kwa kutotimiza wjibu wake Kwa mtoto
 
Nchi haipoi Yani Miti kwa vitoto Hadi vikongwe.
Mahakama zitapokea kesi nyingi Sana miaka hi ya nyege Kali.
 
Niliamini shule zilizo chini ya taasisi za kidini haya mambo ya kula vikondoo hakuna .
 
Watu wa namna hii nikuwapiga sindano wabaki magalasa
 
Hata mimi nachoka kabisa
 
Hawa walimu wa siku hizi maadili yao ni sifuri kabisa. Ngoja afungwe ili Liwe fundisho kwa wengine.
 
Hii habari mwisho wake imekuaje, maana nina watoto wanasoma hapo. Je upelelezi ulifanyika kubaini ukweli wa tuhuma hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…