Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Wanawake hoyeeee.
Hoiyeeeeeee.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake hoyeeee.
Uko njia potofu saaana ila pia inaonesha jinsi gani unaichukulia dunia na maisha kwa ujumla!!!!!!
Jua wapo wanawake katika nafasi za utendaji wana akili kuliko wanaume wengi sana, wana busara na wanaweza kufanya mambo yakaonekana na kukubalika ila tu hawaingii huko sababu ya mfumo unaotaka akili yako kuongozwa kwa matakwa ya chama au kundi fulani, hawa huwezi wakuta karibu na siasa!!!!!
Kwenye hili tukubali kutofautiana mapema kabisa; wapo wanawake vichwa sana tuuu!!!!!!!!!
Ngoja nikuitie wachache hapa gfsonwin, AshaDii, Kaunga, Ennie, Heaven on Earth, Karucee, Kongosho, Preta, King'asti, Evelyn Salt majina yanagoma hebu anza na hawa kuwaeleimisha kuwa wao wanategemea mashimo wao ni bure na hawawezi ushindani!!!!!
Mkuu mbona tena Unanichonganisha na best wangu Evelyn Salt? Naona karibia utaniitia na Madame B?!!
Mkuu nafikri kuna mahali tunaposhindwa kuelewana tu! Hakuna anayesema kwamba hatuna wanawake vichwa, wapo! Tena wengi tuuuuuuu!! Mojawapo ninaowafahamu kwa ukaribu ni kama Dr. Njelekera, Dr. Hellen-Kijo Bisimba, Joyce Mhaville, Professor-Dr. Apollinaria Pereka, Dr. Agnes Kijazi, na mama mwingine engineer alikuwa mamlaka ya viwanja vya ndege n.k, n.k
Ninachokisemea mimi ni woga wao katika kuingia kwenye ushindani mpaka inafikia hatua ya kung'ang'ania viti vya upendeleo. Nafikri jana ulisikia mpaka wanaimba "tu-na-taka haki yetuuuu", kwa hiyo haki yao ni kupewa viti vya upendeleo, wala si ushindani wa uwezo wa mtu katika kujieleza!!!
Kwa hiyo mkuu wala hakuna haja ya kuniitishia maandamano ya akina mama hapa jamvini kama ulivyofanya hapo juu!! Isipokuwa labda kama na wewe ni m-mama pengine labda nilikukwaza!! AKINA MAMA BADO SANAAAAAAAAAA!!
Mama anatafuta umaarufu tu hakuna lolote! Yani anasimama anaongea mpaka mishipa ya shingo inasimama kujifanya anatetea wanawake wakati ni mbinu tu ya kujitafitia kuungwa mkono na akina mama! Wajinga ndio waliwao
haya ni matusi makubwa sana kwa wanawake wanaojitambua na wanaoweza. kwanza kabisa utambue wewe umemezwa na mfume dume ambao milele huwa mnaona wanawake si mali kitu.Hata hivyo vichwa unavyovisemea mkuu havijaingia huko kwa sababu havijiamini katika sera ya ushindani, period!! Vinasubiria viti vya upendeleo wa kutumia shimo!! Wanawake bure kabisa, ujasiri wa kushindana hawana, wabaki tu kuwa wasaidizi wetu kama walivyoumbwa tangu enzi ya Adam na Eva!! Mwanamama hata awe na PhD 10 (kama zipo) utakuta anagaragazwa na darasa la saba au form IV failure!!
Sasa eti watu nao walikuwa wanamwona Asha-Rose kuwa mgombea sahihi wa u-Rais?? Ataweza wapi kushindana huyu? Labda nako tupitishe sheria ya Jinsia (kuwa 2015 ni zamu ya wanawake). Mama huyu dhaifu sana sijui kwa nini bwana!!
haya ni matusi makubwa sana kwa wanawake wanaojitambua na wanaoweza. kwanza kabisa utambue wewe umemezwa na mfume dume ambao milele huwa mnaona wanawake si mali kitu.
nakuuliza swali dogo sana na naomba unijibu kama kweli wewe unatumia akili ama unakaili unayodhan ni ya kiume yenye uwezo juu ya kila jambo.
Leo hii likitemngenezwa bomu la kuua wanaume wote kwa mara moja duniani kote bado maisha yataendelea nikimaanisha hayatasimama. Lakini likitengenezwa bomu la kuua wanawake wote maisha yatasimama na hatimaye hapatakuwa na binadamu si wa kiike wala wa kiume dunian je wajua sababu ni nini??
ukitaka kujua power of a woman muulize Richard Petterson kwenye novo yake ya protect and defend utaona jins ambavyo hata wanaume wasomi kama Martin, Gage walivyo tolewa nishai na wanawake kama Caroline Masters na Sara Wash.