Uchaguzi 2020 Haki ya kuishi ni Bora kuliko CCM

mcoloo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
918
Reaction score
1,402
Inatupasa watanzania tuamue na tuwe wakweli juu ya haya yaliyo tokea kwa miaka mitano Mara tu baada ya uchaguzi wa 2015. Kwa kweli mambo ya kikatili dhidi ya watanzania wenzetu.
1: wameuwawa.
2: wametekwa
3: wamebambikiwa kesi na hata
kufungwa pasipo na hatia.( Ili mradi tu
ikionelana una mawazo tofauti )
4: wafanya biashara wengi wafungiwa
biashara zao Kama sio kufilisiwa.
5: wamebomolewa nyumba zao kwa
visingizio mbali mbali hasa vya kudai
kuwa Wana waletea maendeleo.
Ni maendeleo yapi yanayoletwa kwa
kudidimiza maisha ya watu.? nk
Haya yote yanahusu maisha na uhai wa kila mwananchi. Na kwa ajili ya hayo itoshe tu kwa umoja wetu Kama taifa kusema CCM kwenda na potelea mbali kabisa , kwani badala ya kutuletea faraja na amani , imekuwa ndo chanzo Cha mateso kwa watanzania.
 
Kwanza hayo uliyoyasema hapo juu yote ni ya uongo mtu anaye tumia maneno ya uongo ili kuomba kura ni tapeli kama kweli una uhakika na hayo unayoyasema kwanini usiende kudai haki mahakamani kuwa nduguyo kauwawa au nyumba yako imebomolewa kinyume na sheria, kama kijana nakushauri kura yako mpe dr magufuli anatufaa sana na tumeona makubwa kupitia yeye usifanye makosa
 

Attachments

  • IMG_20200827_203723.jpg
    18 KB · Views: 3
We ndo unashirikiana naye huyo intarahamwe.
 
Huna jipya magufuli anatosha wewe endelea kupigia kelele kikundi cha wafanya fujo wa ufipa
We ndo unajitia upofu na kumbe una macho la sivyo unashida katika kufikiria.
 
Taja hayo makubwa yaliyokunufaisha moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…