Inatupasa watanzania tuamue na tuwe wakweli juu ya haya yaliyo tokea kwa miaka mitano Mara tu baada ya uchaguzi wa 2015. Kwa kweli mambo ya kikatili dhidi ya watanzania wenzetu.
1: wameuwawa.
2: wametekwa
3: wamebambikiwa kesi na hata
kufungwa pasipo na hatia.( Ili mradi tu
ikionelana una mawazo tofauti )
4: wafanya biashara wengi wafungiwa
biashara zao Kama sio kufilisiwa.
5: wamebomolewa nyumba zao kwa
visingizio mbali mbali hasa vya kudai
kuwa Wana waletea maendeleo.
Ni maendeleo yapi yanayoletwa kwa
kudidimiza maisha ya watu.? nk
Haya yote yanahusu maisha na uhai wa kila mwananchi. Na kwa ajili ya hayo itoshe tu kwa umoja wetu Kama taifa kusema CCM kwenda na potelea mbali kabisa , kwani badala ya kutuletea faraja na amani , imekuwa ndo chanzo Cha mateso kwa watanzania.