Nimefuatilia makala ya Star TV juu ya watu watano wanaosubiri hukumu ya mahaka iwapo kuna uwezekano wa kukatisha maisha yao kwa kujiua kutokana na sababu mbalimbali
awali aliyedai haki hiyo alijiua baada ya kuchoshwa na kusubiri hukumu ya mahakama na amsehitakia kesi ya mauaji japo ameshajiua
Kadhia hii inaungwa mkono na watu maarufui akiwemo Askofu Desmoind Tutu aliyewahi kuwa mshindi wa tuzo ya Nobel
so then i dont think we need a law...unajimaliza kimya kimyaYeah I think people do have that right in some circumstaces especially when they see life is no longer interessed to them. You have the right to give out ur interest to life.
Mi naona hii ni haki ya msingi kabisa endapo kweli una umwa na hupati nafuu kabisa bora ujitangulize kuliko kupata mateso!
so then i dont think we need a law...unajimaliza kimya kimya
we can write it down if possible,but i am sure it cannot pass along these conservatives mps in our parliament.
I think it necessary to be written down so that people cannot be convicted.