Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Nimefuatilia makala ya Star TV juu ya watu watano wanaosubiri hukumu ya mahakama iwapo kuna uwezekano wa kukatisha maisha yao kwa kujiua kutokana na sababu mbalimbali.
Awali aliyedai haki hiyo alijiua baada ya kuchoshwa na kusubiri hukumu ya mahakama na ameshitakia kesi ya mauaji japo ameshajiua.
Kadhia hii inaungwa mkono na watu maarufui akiwemo Askofu Desmoind Tutu aliyewahi kuwa mshindi wa tuzo ya Nobel.