P P N New Member Joined Jun 17, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Jul 31, 2015 #1 Wadau naomba msaada. Nilinunua jiko lagesi dukani nabaada yakulitumia kwamwezi moja aliwaki tena. Kwakifupi niliuziwa kitu kibovu. Ninahaki yakulirudisha au nimeshazurumiwa.
Wadau naomba msaada. Nilinunua jiko lagesi dukani nabaada yakulitumia kwamwezi moja aliwaki tena. Kwakifupi niliuziwa kitu kibovu. Ninahaki yakulirudisha au nimeshazurumiwa.