Ndugu Kongosho! umesema kweli kabisa, mwanamke anastahili haki ya kupata elimu. however, nilichokuwa naongelea hapa specifically ni haki ya mwanamke mtu mzima sio watoto, yule aliyeolewa, aliyetelekezwa na mimba au mtoto mwanaume hahudumii, anayenyimwa mirathi baada ya mume wake kufariki n.k, yaani mwanamke yule aliyefikwa na matatizo kama hayo. hiyo ya kumpeleka shule, inawezekana au haiwezekani wakati mwingine kuwa ni wajibu wa mume wake hata hivyo. hayo mambo ya elimu tunategemea mwanamke aliyefikia umri wa above 30 awe ameshavipata sasa yuko kwenye ndoa au ana watoto etc na yamemfika matatizo hayo niliyoorodhesha.Haki ya msingi kwa mwanamke ni kupata elimu, mengine follows.
Utadai haki kama mme kakutelekeza, akifa na hali hakuwa na akiba ya maana?
Ila na hizi sheria zitasaidia kwa wale waliochelewa kuweza kujikwamua.