Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,472
kuna kitabu kimoja nimekinunua kwa wauza magazeti kwa alfu kumi, ni kitabu cha sheria. nilichokikuta ndani ni zaidi ya hela niliyonunulia, nimejiuliza sababu ya kuuza kitabu kile kwa bei ndogo ni kwanini, au mwandishi hajiamini ubora wake?kwasababu vitabu vya sheria huuzwa garama sana. lakini hata hivyo, haki ya mwanamke katika ndoa ni nini kulingana na mafundisho ya dini, tufafika kweli? kwa mwenye link naomba aweke hapa.