Kwanz kikao cha kinidhamu
Ni kikao Rasmi kinachoitishwa na menejiment kwa madhumuni ya kumpa nafaci Au fursa mfanyakazi anayetuhumiwa kwa makosa ya kinidhamu kujitetea dhid ya tuhuma hzo.
Mwajiri lazima aatishe kikao cha uchunguz hata kama anaamin mfanyakazi ametenda kosa.
Haki za mfanyakazi anapotuhumiwa na mwajiri wake kutenda kosa LA kinidhamu
1. Haki ya kujulishwa kosa Lake..
2.haki ya kusikilizwa
3.haki ya kuwakilishwa
Na mfanyakaz mwenzake au mwakilishi wa chama mahali pa kazi
4.haki ya kupata taarifa
5.haki ya kuita mashahidi
6.zipo haki nying sana
Haki ya kusikilizwa na mtu mwingine tofautii
Haki ya rufaa kwa chombo huru
Haki ya mfanyakaz anapokuwa kweny kikao cha kinidhamu
Meneja mwandamiz ndiye atakuwa mwenyekit wa kamat ya kinidhamu kwa mashaur ya
1.utovu wa nidhamu Baada ya onyo/maonyo
2. Kujirudia rudia kwa maonyo ya maandishi Au kosa lingine lolote
3.mwenyekit asiwe na uhusiano wowote wa tuhuma hizo au atafutwe mwenyekit mwingine toka ofc nyingine.
4.baad ya kusikilz ushahid na maelezo, mwenyekit Atatoa uamuz km mfanyakazi ana kosa au hana kosa na kuangalia ni hatua zip za kinidhamu zichukuliwe kwa kuzingatia yafuatayo
Muda wa utumishi wa mfanyakaz na kumbkumb za kinidhamu
Afya ya mfanyakazi
Kwa hyo unahak nying japokuw mm nimeleza kwa uchache ila Kumbuka katika taratibu zote za kikao cha kinidhamu kama mwajiri atakiuka kipengele kimoja tuu hicho kikao kitakuwa ni batili