Haki yangu niwapo ktk kikao cha nidhamu (hearing)

Ndera

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
653
Reaction score
548
Wakuu,
Habarini za majukumu nikiwatakia sikukuu njema ya Xmass na heri ya mwaka mpya 2017.

Naomba niingie ktk mada kama nilivyoeleza hapo juu. Naomba kujua haki zangu niwapo ktk kikao cha nidhamu (Hearing) maana wengi wetu tunahudhuria vikao hivi bila kujua nini hasa natakiwa kupewa (documents) mwanzo na baada ya kumaliza kikao.

Asante, nawasilisha.
 
X_mass hiyo ndg yangu kabla hujaandika ujue maana yake wengi wetu tunakosea tukidhani ni kifupi cha neno Christmas
 
Pole sana kwa hiyo kesi nadhani kesi yako haijaisha umewahi kuleta hapa
 
Ni hivi kabla ya kesi kusomwa ni lazima wasome tuhuma zako za awali na ikiambatanishwa na maelezo yako ya awali tunashauri jitetete sana kwenye uwandishi wako wa mwanzo maana kesi kama itaendelea mpka CMA watarudia kusoma maelezo yako kama huku mwazo kama ulikubali turudi kwenye point baada ya Hearing utapewa nakala ya hukumu yako ya mwendelezo wa kesi yako ni wapi huko twende tukapige pesa
 
Asante sana Mkuu, nahitaji kutambua mambo haya kwa ajili ya kukwepa kuonewa onewa na waajiri wetu nikiamini.
je, ni haki kupewa final warning ikiwa tayari warning wa mwisho ime expire tayari?
JF ni darasa tosha.
 
Kwanz kikao cha kinidhamu

Ni kikao Rasmi kinachoitishwa na menejiment kwa madhumuni ya kumpa nafaci Au fursa mfanyakazi anayetuhumiwa kwa makosa ya kinidhamu kujitetea dhid ya tuhuma hzo.

Mwajiri lazima aatishe kikao cha uchunguz hata kama anaamin mfanyakazi ametenda kosa.

Haki za mfanyakazi anapotuhumiwa na mwajiri wake kutenda kosa LA kinidhamu

1. Haki ya kujulishwa kosa Lake..
2.haki ya kusikilizwa
3.haki ya kuwakilishwa
Na mfanyakaz mwenzake au mwakilishi wa chama mahali pa kazi
4.haki ya kupata taarifa
5.haki ya kuita mashahidi
6.zipo haki nying sana
Haki ya kusikilizwa na mtu mwingine tofautii
Haki ya rufaa kwa chombo huru

Haki ya mfanyakaz anapokuwa kweny kikao cha kinidhamu

Meneja mwandamiz ndiye atakuwa mwenyekit wa kamat ya kinidhamu kwa mashaur ya

1.utovu wa nidhamu Baada ya onyo/maonyo

2. Kujirudia rudia kwa maonyo ya maandishi Au kosa lingine lolote

3.mwenyekit asiwe na uhusiano wowote wa tuhuma hizo au atafutwe mwenyekit mwingine toka ofc nyingine.

4.baad ya kusikilz ushahid na maelezo, mwenyekit Atatoa uamuz km mfanyakazi ana kosa au hana kosa na kuangalia ni hatua zip za kinidhamu zichukuliwe kwa kuzingatia yafuatayo

Muda wa utumishi wa mfanyakaz na kumbkumb za kinidhamu

Afya ya mfanyakazi

Kwa hyo unahak nying japokuw mm nimeleza kwa uchache ila Kumbuka katika taratibu zote za kikao cha kinidhamu kama mwajiri atakiuka kipengele kimoja tuu hicho kikao kitakuwa ni batili
 
LAW IS BINDING.
Link hyo group la whatsapp nikupe msaada

Asante sana Mkuu,
Je, nina haki pia ya kupewa barua inayothibitisha kuwa nimehudhuria kikao hicho na copy za statement zilizoandika zikiwa na sahihi na muhuri wa campuni?
 
Haina haja kwa sababu mwenyekit wa kikao atasaini fomu ya uamuzi na kumpa nakala mfanyakazi,, kwa sababu maamuzi yale yatakuwa batil kama ww hautasaini,, ndo maan nasema lazima wakupe nakala kwa hyo nakala hyo ndo utakuwa uthibitisho Tosha ww ulikuwa kweny kikao
 
Back
Top Bottom