w0rM
Member
- May 3, 2011
- 81
- 192
Kuna kesi kadhaa zinaendelea mahakama kadhaa nchini (Dar, Kilimanjaro, Iringa etc) kisa wahusika eti ‘hawakuwa na leseni ya Online TV’.
Huu ni uonevu uliotoka awamu iliyopita na inaonekana unaendelezwa katika awamu hii.
Kesi hizi zenye kulenga kutisha au kunyamazisha watu kwa kutumia sheria kandamizi zinatakiwa kufika mwisho vinginevyo tunaigiza kuwa na utawala bora unaotumia sheria kandamizi kutisha raia.