Haki za mpangaji wa chumba/ nyumba ni zipi?

Haki za mpangaji wa chumba/ nyumba ni zipi?

truegooner

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
779
Reaction score
338
Habari zenu wadau. Mimi naombeni kujuzwa tu kiudadisi, je sisi wapangaji wa eidha chumba au nyumba tuna haki yoyote ya kisheria baada ya kukubaliana ya kwenye mkataba? Asanteni.
 
haki unayo, lakini kumbuka wengine wamejinyima na kuwekeza kwenye nyumba; mpangaji ujue kabisa hiyo ni biashara ya mtu na wateja ni wengi balaa. by the way mimi napendelea frem za biashara kuliko vyumba vya kupanga. mana kwenye mafrem kila mwaka naweza pandisha kodi mana demand is high.
 
Back
Top Bottom